- 18
- 78 242
TUKI - Kuza Akili Yako
Tanzania
Приєднався 17 вер 2021
Kwa watu wote ambao wanatamani kukuza uwezo wa ubongo, kusoma chochote kwa haraka na kufanikiwa katika masomo yao na mambo yote katika maisha yao. Chaneli hii ipo kwa ajili ya kukufunza mbinu za saikolojia ya kukuza akili yako kwa kukuza uwezo wa asili wa ubongo wako
Hapa utapata kujifunza mambo yafuatayo:
Mbinu za kusoma kwa wepesi zaidi
Mbinu za kuimarisha uwezo wa ubongo
Mbinu za kusoma ambazo zinafelisha wanafunzi
Mbinu za kuhifadhi masomo yako haraka
Saikolojia ya kukumbuka ulichosoma
Mbinu za kufanya mitihani
Mbinu za kujibu masuala ya mtihani
Mbinu za kusoma vitabu kwa wepesi
Utajifunza mambo mengi zaidi ya hayo yaliyotyajwa hapo juu na kukufanya uweze kukumbuka mambo mengi zaidi na kufanikiwa katika masomo, biashara na mambo yote kiujumla.
Hapa utapata kujifunza mambo yafuatayo:
Mbinu za kusoma kwa wepesi zaidi
Mbinu za kuimarisha uwezo wa ubongo
Mbinu za kusoma ambazo zinafelisha wanafunzi
Mbinu za kuhifadhi masomo yako haraka
Saikolojia ya kukumbuka ulichosoma
Mbinu za kufanya mitihani
Mbinu za kujibu masuala ya mtihani
Mbinu za kusoma vitabu kwa wepesi
Utajifunza mambo mengi zaidi ya hayo yaliyotyajwa hapo juu na kukufanya uweze kukumbuka mambo mengi zaidi na kufanikiwa katika masomo, biashara na mambo yote kiujumla.
Mbinu Sahihi Nilizotumia Kusoma na Kufaulu Vizuri Katika Masomo Yangu
Mbinu za Kusoma na Kufaulu Masomo Yako
Mwanafunzi Kufanikiwa katika masomo yako unatakiwa kufuatilia mbinu sahihi za kusoma na kuzifanyia kazi.
Katika video hii nimefundisha mbinu ambazo nimezitumia mimi mwenyewe katika masomo yangu na kunisaidia kufaulu vizuri katika masomo Yangu.
#akili #mafanikio #masomo #mwanafunzi #necta
Mwanafunzi Kufanikiwa katika masomo yako unatakiwa kufuatilia mbinu sahihi za kusoma na kuzifanyia kazi.
Katika video hii nimefundisha mbinu ambazo nimezitumia mimi mwenyewe katika masomo yangu na kunisaidia kufaulu vizuri katika masomo Yangu.
#akili #mafanikio #masomo #mwanafunzi #necta
Переглядів: 170
Відео
Mbinu za Kusoma na Kufaulu Vizuri katika Masomo Yako
Переглядів 3614 місяці тому
Ikiwa unataka kufanikiwa katika masomo na katika kujifunza ujuzi mbali mbali unaweza kutumia ujuzi ambao nimekupatia katika video hii. Mbinu hizi zimethibitishwa kisayansi katika kukusaidia kusoma masomo kwa wepesi na katika kujifunza ujuzi mbali mbali Kujifunza kanuni tatu za kusoma bonyeza hapa ua-cam.com/video/mt3cwRaJ258/v-deo.htmlsi=tUDYsi46Q-l_Ncbg Katika video hii nimetumia neno FORDI am...
Mbinu za kuondoa changamoto ya kulala kila mara unaposoma masomo/Tips to avoid sleep while studying
Переглядів 4024 місяці тому
Ikiwa unataka kufanikiwa katika masomo na katika biashara unaweza kutumia ujuzi ambao nimekupatia katika video hii. Mbinu hizi zitakusaidia kuweza kusoma muda mrefu bila ya kulala au kusinzia wakati wa masomo. Mbinu hizi imethibitishwa kisayansi katika kukusaidia uweze kuondokana na changamoto ya kulala mara kwa mara unaposoma ili kufanikiwa katika masomo na katika kujifunza ujuzi mbali mbali B...
Mbinu ya kukuza uwezo wa akili kwa haraka sana\\Increase brain power fast
Переглядів 2,2 тис.4 місяці тому
Ikiwa unataka kufanikiwa katika masomo na katika biashara unaweza kutumia ujuzi ambao nimekupatia katika video hii. Ipo mbinu moja bora sana ambayo itakusaidia kuboresha UWEZO wako wa akili ndani ya siku kumi na nne. Mbinu hii imethibitishwa kisayansi katika kuimarisha uwezo wako wa akili ili uweze kufanikiwa katika masomo na katika kujifunza ujuzi mbali mbali Mbinu hii inaitwa Gyana Mudra Inat...
Huwezi kufanikiwa katika masomo yako bila ya kufahamu matatu haya.
Переглядів 1254 місяці тому
Ikiwa unatama kufaulu vizuri katika masomo yako basi unatakiwa kufahamu mambo matatu ambayo nimefundisha katika video hii mwanzo hadi mwisho. Kufahamu mbinu za kuongeza uwezo wako wa akili bonyeza hapa ua-cam.com/video/Hb5Bd3VztCA/v-deo.htmlsi=6sXwPNRMPk2ZtLeb kuangalia video hiyo ambayo pia inaeleza mbinu ya conscious breathing kama nilivyoeleza katika video. Mbinu hizi zitakusaidia kusoma kwa...
Vyako bora kwa ajili ya kuimarisha ubongo, kuongeza akili na kumbukumbu
Переглядів 9 тис.5 місяців тому
Leo utajifunza aina za vyakula ambavyo vinasaidia kuongeza uwezo wa ubongo na akili ili uweze kufanikiwa katika masomo, biashara na katika kukuza ujuzi wako Kujifunza kanunua kuu tatu za kusoma bonyeza hapa ua-cam.com/video/mt3cwRaJ258/v-deo.htmlsi=tUDYsi46Q-l_Ncbg Kujifunza hatua kuu nne na kukuza uwezo wa ubongo na kuongeza kumbukumbu bonyeza hapa ua-cam.com/video/vGAXOMK35rk/v-deo.htmlsi=G78...
Sifa sita za wanafunzi wanaofanikiwa masomoni/Habits of successful students
Переглядів 3155 місяців тому
Mafanikio yako katika masomo yanatokana na kuwa na sifa sahihi na tabia sahihi. Ukiwa na sifa sahihi utaweza kufuata mbinu sahihi za kusoma na kufaulu mitihani yako Kufahamu kanuni kuu tatu za kusoma bonyeza link hii ua-cam.com/video/mt3cwRaJ258/v-deo.htmlsi=rWL9MsS_g15W_Xbn Mwanafunzi mwenye mafanikio anatakiwa kuwa na sifa sita kama zinavyoelezewa hapa 1. Mtamzamo sahihi 2. kupenda changamot...
Mbinu za kusoma na kufaulu mitihani ya chuo kikuu/strategies to succeed in universities
Переглядів 2845 місяців тому
Ikiwa wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu na unatamani kufahamu mbinu za kusoma na kufaulu mitihani YAKO Bila ya stress(mawazo) Basi fuatilia vizuri hili somo. Kufahamu Kanuni kuu tatu za kusoma Angalia video hii hapa ua-cam.com/video/mt3cwRaJ258/v-deo.htmlsi=rWL9MsS_g15W_Xbn Kufahamu Hatua nne za kukuza uwezo wako wa akili bonyeza link hii hapa ua-cam.com/video/vGAXOMK35rk/v-deo.htmlsi=G78i5QxXGp...
MBINU ZA KUKUZA UWEZO WAKO WA AKILI/IMPROVE YOUR BRAIN POWER FOR MORE SUCCESS
Переглядів 3,6 тис.5 місяців тому
Ikiwa unataka kufanikiwa katika masomo na katika biashara unaweza kutumia ujuzi ambao nimekupatia katika video hii. Zipo mbinu tano ambazo zitakusaidia kuboresha UWEZO wa akili ambazo nimezieleza hapa kupitia sentensi ambayo inasema. #masomo #mafanikio #moneymindset KAKA FRANK DADA CHAUSIKU NI MGONJWA Sentensi hii imebeba mbinu tano hizo. Angelia hapa KAKA - kuza UMAKINI FRANK - Fahamu kuhusu u...
TUKI Tumia Mbinu hii kukariri masomo yako kwa haraka/how to remember what you learn
Переглядів 3,2 тис.6 місяців тому
Wanafunzi Wengi wanatamani kufahamu mbinu bora za kutumia ili waweze kukariri haraka masomo yao Leo utajifunza mbinu bora zaidi ya kutumia ili uweze kukariri masomo na kufaulu Masomo yako. Mbinu hii inaitwa Questioning skills. Mbinu ambayo inamhitaji mwanafunzi kutengeneza masuala kutokana na somo ambalo alikuwa anasoma Baada ya hapo utatumia masuala uliyotengenza kujiuliza kila unapotaka kufan...
MBINU ZA KUONGEZA UFAULU WA MASOMO KWA HARAKA ZAIDI
Переглядів 6516 місяців тому
Wanafunzi wengi wanatamani Kuongeza ufaulu katika masomo yako lakini wanashindwa kujua MBINU za kufuata ili kuondoa changamoto hiyo. Mbinu hizo TANO ni pamoja na: 1. Growth mindset 2. spaced repetition 3. interleave the studies 4. Elaboration 5. Generations Growth mindset Ina maana ya Ubongo wako Unamini kuwa unaweza Kuongeza ufaulu wako Spaced repetition Maana yake ni kutumia ratiba Maalum...
SABABU ZINAZOPELEKEA WANAFUNZI KUFELI MITIHANI BILA YA KUJIJUA
Переглядів 1756 місяців тому
SABABU ZINAZOPELEKEA WANAFUNZI WENGI KUFELI MASOMO YAO BILA YA KUJUA Ubongo unakawaida ya kudanganya na ndio maana unafeli MASOMO YAKO Jinsi ya Kuondoa udanganyifu huo unatakiwa kufanya kitu hichi. Kila baada ya NUSU saa au Lisaa limoja FANYA HIVI Andika KATIKA karatasi Kile Ulicho soma Soma kwa maneno kile ambacho umekisoma #necta #Mwanafunzi #Masomo Tumia mbinu hiyo hapo juu kuimarisha kumbuk...
FAIDA ZA USINGIZI BORA KWA MWANAFUNZI
Переглядів 1326 місяців тому
Mwanafunzi yeyote ambae Anataka kufanikiwa KATIKA MASOMO yake anatakiwa kuzingatia muda wa Kilala. Kulala kunasaidia kuboresha AFYA ya ubongo na Kuongeza kumbukumbua kwa mwanafunzi.
Hatua 4 za kukuza uwezo wako wa ubongo na kusoma kwa wepesi zaidi/Increase your brain power
Переглядів 19 тис.2 роки тому
Leo utajifunza Hatua nne za kukuza uwezo wako wa ubongo na kusoma masomo yako kwa wepesi zaidi. Hatua zenyewe ni kama zifuatazo. KUSOMA KITAMADUNI Hatua hii ni Ile ambayo wanafunzi wengi wanasoma bila ya mafanikio yeyote. Wanasoma kutokana na namna walivyoona wazee wao wakisoma. KUAMKA Hatua hii ni Ile ambayo wanafunzi wanajiuliza ni mbinu gani a atumie ili kusoma kwa wepesi. Hapa mwanafunzi am...
Saikolojia ya kusoma na kukumbuka ulichosoma kwa haraka
Переглядів 1,3 тис.2 роки тому
saikolojia ya kukuza kumbukumbu ni msingi mkubwa wa kukuwezesha kujifunza na kufauli masomo yako.
Mbinu za kufaulu mitihani necta/#necta#nectaonline#barazalamitihaninecta/mazowezi/ubongo/formsix
Переглядів 1,4 тис.3 роки тому
Mbinu za kufaulu mitihani necta/#necta#nectaonline#barazalamitihaninecta/mazowezi/ubongo/formsix
Mbinu za kusoma na kufaulu masomo magumu kwa wanafunzi wa aina zote.
Переглядів 15 тис.3 роки тому
Mbinu za kusoma na kufaulu masomo magumu kwa wanafunzi wa aina zote.
Mbinu tatu za kufuata ili kusoma somo lolote na kukumbuka ulichosoma - Mr Tukrim Ameir
Переглядів 21 тис.3 роки тому
Mbinu tatu za kufuata ili kusoma somo lolote na kukumbuka ulichosoma - Mr Tukrim Ameir
Napenda samak nasaladi.
Mayai chemsha au
Hapa umenipata San yàan nikiziona tu naanza kuzitamani nikinunua kilo yake hata siku 4 hazifiki maana napenda kula san
Vyakula vyote ulivyonifundisha nakula nashukuru San
Mimi anakula mayai
I learn
Nakula fish
Nakubali kaka
🙏🙏🙏
Nabarikiwa sana kaka kweli wewe mwamba
Asante sana
Mimi natumia parachichi
Vzuri
Napenda zidi kutupa elimu ya afya.
Karibu sana
Mbegu ya maboga naweka Kwa unga Wa lishe nakunywa uji kila siku ASB
Iko poa hiyo
Samaki , parachichi , mayai nakula
Safi
Nzuri mafunzo haya
Asante sana
Nmejifunza
Hongera sana
Mi natumia sana hivi vyakula na sina akili
Vyakula ni sehemu tu, kuna vitu vingine pia unatakiwa uzingatie
Asante sana kwa somo nzuri
Karibu sana
Nakushukuru sana napenda kujifunza Samaki nakula mara coache sana nitajitahidi lakini kutumia hayo matunda
Vizuri
🎉🎉asante
Karibu sana
Ok
🙏
Unajua hadi unajua tena Mungu akutunze
Asante sana
Asante kwa mafunzoo yakoo mazurii kakaa
Nashkur sana
Nitapata wap hayo matunda mekunduu??
Yanauzwa kariakoo kl5000 yanasaidia sna
Sokoni
Mfano ndo ukiwa ushakula kama hujui
Vuta muda kidogo kama lisaa moja kabla ya kusoma
Ubarikiwe tupo pamoja ahsante❤❤❤
Karibu sana
Najifunza sana, lakin almond na bitreit znapatikana wap
Sokoni unazipata au supermarket
Asanteee sana nimependa mafundisho hayo
Karibu sana
Karibu sana
Fact
Yes
Nakula pia
Vizuri
Kabisa
Ndio
Kabisa
Yes
Hao samaki wanapatikana kirahisi?
Ndio
Nitapata wap hayo matunda mekundu ya juice
Sokoni
Mashallah ja5
Pamoja
Thank you .God bless you
Thank you
Najifunza
Good
Napenda sana pamoja
Asante sana
Mimi.nakula.mayai.naparachichi sana
Good
Mimi.nakula.samaki.lakini....sanasana kavu
Good
Mtaaramu mm mwanagu nimtu wakusahau aliyo fundishwa. Nisaidie
Umri gani?
Thanks teacher
Karibu sana
😂😂😂🎉😢😮😅
Umefurahi
Napenda hayo masomo
Karibu sana
I got you bro challenge, effort, obstacles, successful of others
Good
1. tegemea Mungu 2.kuwa makini darasani 3.fundisha wengine/Mwenyewe 4. Asante kwa elimu
Karibu sana na hongera kwa kujifunza
Hongera sana kwa kutupatia elimu hii
asante sana
Barikiwa
asante sana
Ni kweli
haswaa
Barikiwa kwa kutupatia madini
asante sana
Ni mayai ya kienyeji au hata yakizungu?
Aina yeyote inafaa