Fatys Cooking
Fatys Cooking
  • 56
  • 621 386

Відео

Rojo la chocolate lenye ladha kama nutella na mahitaji yake rahisi sana#chocolayesyrup
Переглядів 746Місяць тому
Two cups of milk Cocoa gram 10 Vannila and ice cream 1 table spoon for each 1 Condesed milk 3 spoon Sugar 3 spoon Milk chocolate two spoon
Wali mchanganyiko mtam kuliko birian na pilau,kama unapenda chinese rice na huu lazma utapenda
Переглядів 1,9 тис.2 місяці тому
Wali/rice Vitunguu maj vilookaangwa/fried onion Mbatata/potatos Karot na pilipiliboga/green paper and carot Bilingan/ Mdalasini na hiliki/ cinamon powder and cardamon Oister sauce Kuku /chicken
Siri ya kupika chapati laini na za kuchambuka #chapatilaini #chapatimchambuko
Переглядів 43 тис.2 місяці тому
Mikate ya ufuta by fau delecious👇 youtube.com/@Fauziajumaa84?si=W3z3QAeDLTzwKn0A Engridients Unga/flour Samli/ghee Sukar/sugar Chumvi/salt Mafuta/oil
pika cake yako kwa njii hii na arki/flavour nzur za kutumia katik cake yako#kekilaini
Переглядів 7102 місяці тому
Fau delecious👇 youtube.com/@Fauziajumaa84?si=QD5iFVHDw_iYAhGR Ingredienta Butter /siagi 250g Sugar /sukar 250g Flour/unga 3009 Milk optional/maziwa sio lazma 20mls Flavour /arki vannila,ice cream,bubllegum ,lime Cocoa 20g Baking powder 1 spoon
Pika EGGCHOP zako kwa njia hi ni tamu ajabu/how to cook eggchop very taste
Переглядів 7433 місяці тому
Nyama(meat)1/2 Carot ,pilipiliboga ,kotmiri Mbegu za dengu Mayai ya kuchemsha Mayai mawili mabichi ya kuchanganya ktk nyama Na mayai mengine 3 kwa ajili ya kuchomea Tambi za vileja unazisaga Mafuta kwa ajili ya kuchomea Meat 1/2 Carot, green paper, corriander Gram flour seed Boiled egg 2 egg to add in a meat Another 3 egg for deep eggchop in oil Vermicell Oil for frying
chicken lemon /lime, pika kuku wako kwa njia hii familia nzima itafurahia#kukuwakuchoma
Переглядів 2733 місяці тому
Chicken Melted butter Lime/lemon zest Ginger and garlick Mixed spice
Tengeneza pilipili/achari yako hvi ni tamu sana ajabu #pilipili #achari
Переглядів 5253 місяці тому
Tengeneza pilipili/achari yako hvi ni tamu sana ajabu #pilipili #achari
jinsi ya kupika vitumbua vya kuku kwa kutumia mahitaj aina tatu tu na rahisi sana#vitumbuavyakuku
Переглядів 3763 місяці тому
chicken Carot, onion, green paper Eggs Baking powder
how to cook chocolate cake/jinsi ya kupika chocolate cake (eng subtittle) #chocolatecake #nutelacake
Переглядів 3614 місяці тому
flour 250 sugar 250 baking powder 1 spoon pinch of salt milk mlis 125 hot coffe mils 125 oil mls 125 vannil esence (optional)
jinsi ya kupika visheti vya no 8 hatua kwa hatua rahisi sana #visheti
Переглядів 16 тис.5 місяців тому
jinsi ya kupika visheti vya no 8 hatua kwa hatua rahisi sana #visheti
kupika mabisi nyumban kwa urahisi /how to cook pop corn at home #popcorn #mabisi
Переглядів 1925 місяців тому
kupika mabisi nyumban kwa urahisi /how to cook pop corn at home #popcorn #mabisi
maandalizi ya eid /eid preparation #eid#skukuu#maandalizi#preparation
Переглядів 3206 місяців тому
maandalizi ya eid /eid preparation #eid#skukuu#maandalizi#preparation
how to cook softy and fluffy buns/ pika banzi za EID hivi, banzi za skukuu
Переглядів 6086 місяців тому
how to cook softy and fluffy buns/ pika banzi za EID hivi, banzi za skukuu
viungo muhimu vya kunogesha chakula chako/the ingredient you must have in your kitchen
Переглядів 5216 місяців тому
viungo muhimu vya kunogesha chakula chako/the ingredient you must have in your kitchen
jinsi ya kupika nangatai/nan khatai hatua kwa hatua, dkk 10 tu. how to cook nan khatai in 10 min
Переглядів 6 тис.6 місяців тому
jinsi ya kupika nangatai/nan khatai hatua kwa hatua, dkk 10 tu. how to cook nan khatai in 10 min
Eid mubaraq ,kupika birian tamu na urahisi kabisa,biriani ya nyama
Переглядів 1,4 тис.2 роки тому
Eid mubaraq ,kupika birian tamu na urahisi kabisa,biriani ya nyama
Jinsi ya kuchoma/kupika nyama ya kimasai bila mkaa /how to cook Masai meat
Переглядів 7433 роки тому
Jinsi ya kuchoma/kupika nyama ya kimasai bila mkaa /how to cook Masai meat
How to prepare simple sandwich, jinsi ya kupika sandwich
Переглядів 26 тис.3 роки тому
How to prepare simple sandwich, jinsi ya kupika sandwich
Jinsi ya kupika jicho la ngamia/vileja vya jicho la ngamia. How to cook caramel eyes cookies
Переглядів 156 тис.3 роки тому
Jinsi ya kupika jicho la ngamia/vileja vya jicho la ngamia. How to cook caramel eyes cookies
how to cook and decorate your cake very simple
Переглядів 6603 роки тому
how to cook and decorate your cake very simple
How to cook jelebi, Jinsi/Namna ya kupika jelebi tamu na rahisi Sana kutengeneza
Переглядів 8923 роки тому
How to cook jelebi, Jinsi/Namna ya kupika jelebi tamu na rahisi Sana kutengeneza
Jinsi ya kupika potato wedges Aina mbili/ how to cook potato wedges in two ways
Переглядів 8443 роки тому
Jinsi ya kupika potato wedges Aina mbili/ how to cook potato wedges in two ways
Jinsi ya kupika swis roll/ how to cook swis roll
Переглядів 1,8 тис.3 роки тому
Jinsi ya kupika swis roll/ how to cook swis roll
Jinsi ya kupika mbatata na kuku wa kuoka/ perfect roasted chicken and potatoes
Переглядів 3813 роки тому
Jinsi ya kupika mbatata na kuku wa kuoka/ perfect roasted chicken and potatoes
Jinsi ya kupika njugu za mayai/kupika njugu za biashara/how to cook crunchy peanut
Переглядів 2,2 тис.3 роки тому
Jinsi ya kupika njugu za mayai/kupika njugu za biashara/how to cook crunchy peanut
Namna ya kuandaa kifungua kinywa kwa dakika tano tu pekee/ how to cook simple breakfast for 5 minute
Переглядів 2,5 тис.3 роки тому
Namna ya kuandaa kifungua kinywa kwa dakika tano tu pekee/ how to cook simple breakfast for 5 minute
Jinsi ya kupika vileja vya Nutella/how to cook Nutella cookies
Переглядів 9 тис.3 роки тому
Jinsi ya kupika vileja vya Nutella/how to cook Nutella cookies
Jinsi ya kupika waffles kwa urahisi Zaid/ How to cook simple and easy waffles
Переглядів 7 тис.3 роки тому
Jinsi ya kupika waffles kwa urahisi Zaid/ How to cook simple and easy waffles
Namna ya kupika vileja vya njugu na jam hatua kwa hatua ,how to cook butter balls with jam
Переглядів 49 тис.3 роки тому
Namna ya kupika vileja vya njugu na jam hatua kwa hatua ,how to cook butter balls with jam

КОМЕНТАРІ

  • @fatmaaidh4862
    @fatmaaidh4862 День тому

    Samli vijiko ngapi

  • @AminaMgonza
    @AminaMgonza День тому

    Mashallah nimependa sana

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 День тому

      @@AminaMgonza shukran sana na ni mtam sana kipenz yan birian ikasome

  • @zuhurayassin9327
    @zuhurayassin9327 3 дні тому

    Maashallah ❤

  • @Aunty_Nice
    @Aunty_Nice 3 дні тому

    Jamani pia tupe kipimo cha maji tafadhali

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 3 дні тому

      @@Aunty_Nice maji unakisia tu kipenz ,hakikisha unga huutiii maji mengi

  • @Aunty_Nice
    @Aunty_Nice 3 дні тому

    Samli kiasi gani uliyoyeyusha? Hukusema kiasi cha samli

  • @OmanMuscat-m8g
    @OmanMuscat-m8g 3 дні тому

    Naomba no yako ya WhatsApp

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 5 днів тому

    Mvuje unayitwaje kwa English?

  • @asmaamohd2962
    @asmaamohd2962 10 днів тому

    Mashaallah. Vileja vya tende recipe pls 😊

  • @maryam28-p4j
    @maryam28-p4j 10 днів тому

    Ni zuri lakini sinakazi tu sana

  • @malina9320
    @malina9320 13 днів тому

    Mashallah

  • @RehemaAbuu-r4k
    @RehemaAbuu-r4k 14 днів тому

    Masha allah nimekupata vizuri nitapika km vyako nashukuru ninauzoefu mzuri tuu wakutaka kujifunza zaidi ❤❤

  • @fatmasaleh7924
    @fatmasaleh7924 14 днів тому

    Natak jinsi ya kutengeneza filling ya maziwa ya sona😢

  • @sabbysam5249
    @sabbysam5249 16 днів тому

    Machuzi voo😂😂

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 15 днів тому

      @@sabbysam5249 🤣🤣🤣jiwali km halijapata chuzi haturidhiki

  • @HamidJuma-k6b
    @HamidJuma-k6b 16 днів тому

    Kama hutaki sukari j

  • @HamidJuma-k6b
    @HamidJuma-k6b 16 днів тому

    Lazima utie sukar

  • @giftmorgan9753
    @giftmorgan9753 16 днів тому

    Jmn samli au kuna samli zina radha zingne me samli yanishindaa mweenzenu au naweza kukandiaa samli na kupikiaa mafuta ingne?

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 16 днів тому

      @@giftmorgan9753 mm nmekandia samli ila kuchomea nmechomea mafuta dear , jarib kubadlisha samli ,samli zipo aina tofaut tofaut huenda ukapata isokukera coz ili chapat iwe nzur lazma ukandie samli

    • @giftmorgan9753
      @giftmorgan9753 16 днів тому

      @fatyscooking8080 ahsante kipenz labdaa waezaa nitajiaaa izo ainaa nataka nzuri au kmaa yako n shngp?

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 16 днів тому

      @@giftmorgan9753 nlotumia mm inaitwa samli ya aseel ila hizi aseel zipo aina mbil, 1 km hyo yngu ambayo bei yake elf 12 na kuna nyengine kopo lake linakuwa rang ya kijan ambayo iyo ni ghali kdg inaweza kufika ata elf 15

  • @Asyer-e4q
    @Asyer-e4q 17 днів тому

    Thank you..God bless u❤️❤️

  • @jamilabahiti881
    @jamilabahiti881 18 днів тому

    Asante sana nilikuwana taka kujuwa nusu kilo ni vikombe vingapi

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 18 днів тому

      @@jamilabahiti881 vikombe hutofautiana ujazo kipenz ila vingi vyao nusu kilo inakuwa vikombe 3 mpk 4

  • @simaisalim108
    @simaisalim108 18 днів тому

    Unafundisha vzuri

  • @simaisalim108
    @simaisalim108 18 днів тому

    Nitajaribubhii

  • @simaisalim108
    @simaisalim108 18 днів тому

    Mm ktk kuchoma vinanipa shida vinafura hivooo inakua mibunda hsta kama nlifanya vidonge vdonge

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 14 днів тому

      @@simaisalim108 unavifanya vikubwa itakuwa ,hv vnataka viwe vidonge vidog vidog na pia ktk uzongorashaji hakikisha vinabana uzur

  • @AmiriZuberisalimu
    @AmiriZuberisalimu 18 днів тому

    Asnte dad

  • @a.856
    @a.856 20 днів тому

    Ahsante

  • @RahimaHaji-g9j
    @RahimaHaji-g9j 21 день тому

    Like it mashaallh ❤

  • @thekickblog
    @thekickblog 21 день тому

    masha'Aallah tabaraka Allah

  • @SelectorKhalifa
    @SelectorKhalifa 22 дні тому

    Yut fi yut👊🏾👊🏾

  • @rehema971
    @rehema971 23 дні тому

    Chapati ukiweka sukari inapunguza kiungulia au gesi tumboni

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 23 дні тому

      @@rehema971 anhaa ok shukran nmejifunza k2 kwako ,ckuwa najua ilo mm

  • @HamisaMaulid
    @HamisaMaulid 24 дні тому

    Ukitumia mahindi yakawaida

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 24 дні тому

      @@HamisaMaulid yanakuwa magum yale labda upate yale mahindi machanga na yalovunwa leo ,na uyachemshe kwanza

  • @MISK-YAKASSIMMOHD
    @MISK-YAKASSIMMOHD 24 дні тому

    Samli kiasi gn hukutuambia

    • @malina9320
      @malina9320 13 днів тому

      ameonyesha inaitwa asil

  • @naylamohammed266
    @naylamohammed266 25 днів тому

    Mashallah ❤❤

  • @catherinefrance3642
    @catherinefrance3642 25 днів тому

    Hongera sana naona chombo kilikuwa kidogo

  • @asmahtamla4749
    @asmahtamla4749 26 днів тому

    DADA SUKARINKWA UPENDAVYO WEWE LKN CHAPARI ASILI YAKE NI CHUMVI

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 25 днів тому

      @@asmahtamla4749 hakika kipenz asili yake chumvi na ndo mana nmeweka chumvi nying kuliko sukar, nmweka sukar kdg sana na chumv ndo nying ,karibun zaid ujifunze mapishi zaid na zaid unufaikeeew

  • @Fauziajumaa84
    @Fauziajumaa84 26 днів тому

    Mashallah

  • @SafaaKassim-l6e
    @SafaaKassim-l6e 27 днів тому

    Meat pie recipe

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 26 днів тому

      @@SafaaKassim-l6e mbona mieat pie video yake ipo kipenz changu, tena nmepost zaman sana si chini ya miaka 3 au 4, angalia video zangu za zamani kipenz ipo full recp

  • @NuryaMasoud
    @NuryaMasoud 27 днів тому

    Hiii hutoki ndani kabisaa

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 26 днів тому

      @@NuryaMasoud na mimba haichez mbali 🤣🤣utachagua 1 ,kutoka au kukaa

  • @FatumaRashid-g7n
    @FatumaRashid-g7n 28 днів тому

    Mashallaw ❤❤❤

  • @shamsazahran928
    @shamsazahran928 29 днів тому

    Mashaa ALLAH unafahamisha vzr kabisa Allah akubarik

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni Місяць тому

    MashaAllah tabaraka Rahman

  • @uwimanalydia-u2c
    @uwimanalydia-u2c Місяць тому

    MashaAllah kama huna samuli?

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 Місяць тому

      @@uwimanalydia-u2c muhim kutumia samli ktk chapat zako dear, samli ni km nazi ktk wali,

  • @RuhysKitchen
    @RuhysKitchen Місяць тому

    Waleikum salaam warahmatulah wabarakatu ❤

  • @RuthStephano-o1w
    @RuthStephano-o1w Місяць тому

    Nitmie hiv 1:29 y vit

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t Місяць тому

    Ngoj namm sik nikipik nitawek skar kidog ila mi awa warab wangu huwek na yai ila ngoj nitawatilia skar

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 Місяць тому

      @@AmenaMm-r5t 🤣🤣🤣wabadlishie waarab kdg taste uone km hawatokwambia kila cku upike izo

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t Місяць тому

      @fatyscooking8080 hhhhhh nitawapikia keshokutwa tukijaliwa hhhhhh il wan mashob wanringa je salmi mm hukanz mot kidog namaj hufanya ya uvug uvug simot san yakiasi ty

  • @KhadijaMwaya
    @KhadijaMwaya Місяць тому

    Mashallah

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 Місяць тому

      @@KhadijaMwaya shukrn kipenz

    • @biauntymbaruku4118
      @biauntymbaruku4118 27 днів тому

      @@fatyscooking8080 shukran sana Habibty Allah akulipe khayran nimetoa chapati laini sana kupitia somo lako naomba kujua hiko chuma ni cha dukani au nivile vya kuchonga

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 27 днів тому

      @biauntymbaruku4118 asante sana dear ,hicho nilinnua dukan ,kwa haji tumbo miaka 6 iliopita

  • @halimaali8732
    @halimaali8732 Місяць тому

    Mashallah ❤

  • @TatoOman-s5t
    @TatoOman-s5t Місяць тому

    Maashaallah umefundisha kwa moyo mmoja allah akubarik

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 Місяць тому

    Hayo marembo mikononi usivae ukipika ni uchafu kwenye chakula

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 Місяць тому

      @@pillykinabo8722 swa kipenz sivai tena nmekoma mm

  • @mgenisimba5902
    @mgenisimba5902 Місяць тому

    Tatizo mda😢😂, yaani kila nkaapo nafikiria step ijayo ya chapat😂, mmh

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 Місяць тому

      @@mgenisimba5902 🤣🤣🤣ukipika lazma utulie uwe na muda wa kutosha ndo utoe kitu bomba, ukiwa na haraka unaburunga

  • @heriethrichard4898
    @heriethrichard4898 Місяць тому

    Ni nzuri kweli, je kwa hizo step ulizotumia hizi chapati ambazo zipo tayari kwa kusukuma ili kupika unaweza kutunza kwa freezer ndani ya siku ngapi?

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080 Місяць тому

      @@heriethrichard4898 wik 3 mpk 4 kipenz ,muhim ziwepo ktk frizer tuu

  • @MeiyaShiney
    @MeiyaShiney Місяць тому

    Tuletee yote kwa kituo

  • @FatmaabdallahAbdallah-e3u
    @FatmaabdallahAbdallah-e3u Місяць тому

    Mashallah