NSSF TANZANIA
NSSF TANZANIA
  • 133
  • 110 639
MENEJA NSSF KINONDONI AWATAKA WAJASIRIAMALI KUENDELEA KUJIUNGA NA KUJIWEKEA AKIBA
MENEJA NSSF KINONDONI AWATAKA WAJASIRIAMALI KUENDELEA KUJIUNGA NA KUJIWEKEA AKIBA
Переглядів: 64

Відео

SEMINA YA WAAJIRI UBUNGO 2024
Переглядів 2221 день тому
SEMINA YA WAAJIRI UBUNGO 2024
NAIBU WAZIRI MKUU, MHE. DKT DOTTO BITEKO ATEMBELEA BANDA LA NSSF MAONESHO YA MADINI GEITA
Переглядів 413 місяці тому
NAIBU WAZIRI MKUU, MHE. DKT DOTTO BITEKO ATEMBELEA BANDA LA NSSF MAONESHO YA MADINI GEITA
NSSF YAKUTANA NA WAHARIRI NCHINI
Переглядів 633 місяці тому
NSSF YAKUTANA NA WAHARIRI NCHINI
NSSF YAKUTANA NA WAHARIRI NCHINI
Переглядів 313 місяці тому
NSSF YAKUTANA NA WAHARIRI NCHINI
NSSF YAKUTANA NA WAHARIRI NCHINI
Переглядів 523 місяці тому
NSSF YAKUTANA NA WAHARIRI NCHINI
NSSF YAKUTANA NA WAHARIRI NCHINI
Переглядів 553 місяці тому
NSSF YAKUTANA NA WAHARIRI NCHINI
MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PSPF KUTOKA ESWATINI WATEMBELEA NSSF KUJIFUNZA
Переглядів 805 місяців тому
MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PSPF KUTOKA ESWATINI WATEMBELEA NSSF KUJIFUNZA
MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PSPF KUTOKA ESWATINI WATEMBELEA NSSF KUJIFUNZA
Переглядів 685 місяців тому
MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PSPF KUTOKA ESWATINI WATEMBELEA NSSF KUJIFUNZA
MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PSPF KUTOKA ESWATINI WATEMBELEA NSSF KUJIFUNZA
Переглядів 935 місяців тому
MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PSPF KUTOKA ESWATINI WATEMBELEA NSSF KUJIFUNZA
RAIS DKT. SAMIA AIPA HONGERA NSSF
Переглядів 435 місяців тому
RAIS DKT. SAMIA AIPA HONGERA NSSF
NSSF YAWAJENGEA UWEZO WASTAAFU WATARAJIWA
Переглядів 506 місяців тому
NSSF YAWAJENGEA UWEZO WASTAAFU WATARAJIWA
MCHUNGAJI HANANJA AFUNGUKA PENSHENI INAYOLIPWA NA NSSF INAVYOWAWEZESHA WASTAAFU KUISHI KWA UFAHARI
Переглядів 4706 місяців тому
MCHUNGAJI HANANJA AFUNGUKA PENSHENI INAYOLIPWA NA NSSF INAVYOWAWEZESHA WASTAAFU KUISHI KWA UFAHARI
NSSF Tupo SabaSaba Banda namba 13 karibu tukuhudumie
Переглядів 526 місяців тому
NSSF Tupo SabaSaba Banda namba 13 karibu tukuhudumie
Kataa Utapeli Huduma zote za NSSF ni bure Sehemu ya kwanza
Переглядів 1027 місяців тому
Kataa Utapeli Huduma zote za NSSF ni bure Sehemu ya kwanza
NSSF YAWANOA WASTAAFU WATARAJIWA MKOA MWANZA
Переглядів 477 місяців тому
NSSF YAWANOA WASTAAFU WATARAJIWA MKOA MWANZA
NSSF YAWANOA WASTAAFU WATARAJIWA MKOA MWANZA
Переглядів 397 місяців тому
NSSF YAWANOA WASTAAFU WATARAJIWA MKOA MWANZA
IJUE NSSF KUTOKA ARUSHA
Переглядів 1307 місяців тому
IJUE NSSF KUTOKA ARUSHA
KATAA UTAPELI
Переглядів 437 місяців тому
KATAA UTAPELI
MIRADI YA VIWANJA VISIGA NA KILUVYA
Переглядів 2,4 тис.7 місяців тому
MIRADI YA VIWANJA VISIGA NA KILUVYA
HUDUMA ZA NSSF MKOA WA MWANZA NA UHAKIKI WA WASTAAFU NA WATEGEMEZI
Переглядів 2207 місяців тому
HUDUMA ZA NSSF MKOA WA MWANZA NA UHAKIKI WA WASTAAFU NA WATEGEMEZI
PENSHENI YA UZEE NA UMUHIMU WA ZOEZI LA UHAKIKI 2024 IJUE NSSF
Переглядів 2019 місяців тому
PENSHENI YA UZEE NA UMUHIMU WA ZOEZI LA UHAKIKI 2024 IJUE NSSF
Mwanachama afurahia huduma za NSSF Taarifa katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria 2024
Переглядів 6311 місяців тому
Mwanachama afurahia huduma za NSSF Taarifa katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria 2024
NSSF, CMA WAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO UTAKAOCHOCHEA UTENDAJI WA TAASISI HIZO
Переглядів 76Рік тому
NSSF, CMA WAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO UTAKAOCHOCHEA UTENDAJI WA TAASISI HIZO
NSSF, CMA WAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO UTAKAOCHOCHEA UTENDAJI WA TAASISI HIZO
Переглядів 70Рік тому
NSSF, CMA WAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO UTAKAOCHOCHEA UTENDAJI WA TAASISI HIZO
MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA 2023, ARUSHA
Переглядів 60Рік тому
MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA 2023, ARUSHA
Kamati ya Bunge ya Kudumu PIC watembelea Daraja la Nyerere Kigamboni
Переглядів 98Рік тому
Kamati ya Bunge ya Kudumu PIC watembelea Daraja la Nyerere Kigamboni
Kamati ya Bunge ya Kudumu PIC watembelea Daraja la Nyerere Kigamboni
Переглядів 45Рік тому
Kamati ya Bunge ya Kudumu PIC watembelea Daraja la Nyerere Kigamboni
Kamati ya Bunge ya Kudumu PIC watembelea Daraja la Nyerere Kigamboni
Переглядів 33Рік тому
Kamati ya Bunge ya Kudumu PIC watembelea Daraja la Nyerere Kigamboni
Kamati ya Bunge yamshukuru Rais Dkt. Samia kuruhusu miradi ya uwekezaji, yaipongeza NSSF
Переглядів 54Рік тому
Kamati ya Bunge yamshukuru Rais Dkt. Samia kuruhusu miradi ya uwekezaji, yaipongeza NSSF

КОМЕНТАРІ

  • @sumatanjunior231
    @sumatanjunior231 15 днів тому

    Nyumba zipo okay ila mazingira sasa.

  • @kaznakazn3495
    @kaznakazn3495 Місяць тому

    Mi naomba kuuliza sijaelewa hapo nyumba nzima au follow 1

  • @EmanuelLameck-m1b
    @EmanuelLameck-m1b Місяць тому

    Kwa iyo ntawapataje

  • @janethjovinal4495
    @janethjovinal4495 Місяць тому

    Eka ni shingapi

  • @maryr4033
    @maryr4033 Місяць тому

    Nyumba za kijichi ni kimeo!!! be carefully, someni mikaba vizuri wajanja saana hawa. angalia kwa makini bei ya kwenye contract na schedule of payment ndo utajua bei halali ni ipi. kama unapesa lipa mara moja!! au jenga your home.

  • @mullahtmo
    @mullahtmo Місяць тому

    Ni nzuri sana ila miundombinu ya nje bado hamjafanikisha but❤

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 2 місяці тому

    Acheni miradi isiyo wanufaisha wanachama

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 2 місяці тому

    Mheshimiwa mkurugenzi wa n s s f mwanachama ananufaikaje na huo mradi wa nyumba

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay 2 місяці тому

    Vipi kikokotoo huko mtarekebisha lini kama bunge la bajeti lilivyoahidi mwaka huu?

  • @issaali1321
    @issaali1321 2 місяці тому

    Sasa kiwanja kimoja kinauzwa kiasi gani kwa ujumla.

  • @simonjohn1865
    @simonjohn1865 3 місяці тому

    Hivi jamani nami kaikubali hiki kikokotoo mbona sielewi

  • @simonjohn1865
    @simonjohn1865 3 місяці тому

    Halafu hiyo ni kwa wafanyakazi wa selikari tu au hadi makampuni binafsi tueleweshane huo ni wizi nikifanikisha kuchukua pesa yangu kama notaingia yena kwenye mfuko wenu mniite mbwa koko lidisheni kikotoo cha zamani hatutakiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni pesa ambazo wengi wetu tuliwekea malengo ya kununu mashamba viwanja pamoja na kujenga

  • @simonjohn1865
    @simonjohn1865 3 місяці тому

    Jamani wafanyakazi wenzangu kina tangazo limeshatoka kuhusu huofumi wa kulipae kila mwezi chonde chonde tulikatae hili sababu hatukuelewana hivyo naombeni msiluke bila kusoma ujumbe huu ili tusaidiane tunafanya nini sababu wengi wetu tuliweka malemgi ya kuchukua pesa yote ili ufanye kitu kizuri wameanza kutuwekea masharti yao ni wanatuibia kwanza hiyo pesa ilibidi iwe na faida sababu wao wanajenga majumba na wanapanhisha pamoja na mradi mbali mbali tuwe makini jamani haitatusaidia kulipwa kama mashahara

  • @HusseinYusuph-p1y
    @HusseinYusuph-p1y 3 місяці тому

    Mimi kad yangu ya NSSF haisomi nafatiria wananisumbua na kad yang wanasema hamnataarifa yoyote

  • @kainimkini2073
    @kainimkini2073 3 місяці тому

    Sisi tukiacha kazi watupe pesa yetu sio wanaanza kutoa maelezo mengi sisi vijana huo umri hatuwezi fika watupe uwe mtaji wa kuanzia sio niache kazi nianze kusubiria nifikishe miaka sirini hapo hapana

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 3 місяці тому

    Ametoa tu mfano au kuna mtu anaweza endesha maisha Tz hii kwa hiyo laki nne ?

  • @athumaniabdi4122
    @athumaniabdi4122 4 місяці тому

    Nasikia Kuna mikopo ya nyumba toka nssf naomba majibu mwenye kujua

  • @RebecaMwakajinga-h1v
    @RebecaMwakajinga-h1v 4 місяці тому

    Jamani muwe mnajenga hata za million kumi kuinua watu wa chini ili wanufaike kama wanachama

  • @alexandersylivester2898
    @alexandersylivester2898 4 місяці тому

    Je endapo mwajiri wangu hajaniunganisha na NSSF mwajiriwa atakua na haki ya kudai mafao yangu.

  • @simonjohn1865
    @simonjohn1865 5 місяців тому

    Mimi stakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wuwiiiiiiiiiiiii mmeanza mambo mengi yanayofanya watu wadhurumiwe

  • @simonjohn1865
    @simonjohn1865 5 місяців тому

    Hivi mbona mnaweka mfano kwenye mshahara wa million 2 wakati sisi wengne hata laki 7 hatujafika

  • @simonjohn1865
    @simonjohn1865 5 місяців тому

    Mbona wamekuwa na mambo mengi sasa

  • @vincentalexander2018
    @vincentalexander2018 5 місяців тому

    Nashindwa kujiunga kwenye app niangalie salio

  • @franksabuni8063
    @franksabuni8063 6 місяців тому

    Kuna wastaafu wanadai kutoka saruji tanga,wansumbiliwa malipo

  • @IbrahimIkassa
    @IbrahimIkassa 6 місяців тому

    Malalamiko yangu nsssf mnamo 2018 wafanyakazi wenu walifika kampuni kwetu tunapofanyia kazi wakatoa elimu kuhusu umuhimu wa kujiunga na mfuko huu wa kijamii lakini kilichoendelea hata zile kadi za uanachama hatukujua ziliishia wapi na baada ya elimu ile kilichofatia tulianza kukatwa pesa kila mwisho wa mwezi hadi leo 2024 lakini hakuna aliyefungiliwa account wala kuingiziwa pesa kama tulivo ahidiwa sasa wafanyakazi hatujui pesa tunayokatwa inaingizwa wapi?

  • @imanmohamed2215
    @imanmohamed2215 6 місяців тому

    MashaAllah TabarakkahAllah

  • @AllyEliazely
    @AllyEliazely 6 місяців тому

    Maoni yangu Nssf ingejaribu kupitia makampuni ambayo yanawafanyakazi ambao hawachangii michango ya wafanyakazi wao ili hali wameajiriwa

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 6 місяців тому

    Mnatuibia pesa zetu ,wanachama mnashindwa hata kuwakopesha viwanja ,mnajilimbikizia mimali nyingi tu

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 7 місяців тому

    Acha kutudanganya kuwa kuna faida, wakati fedha za mifuko ya Pensheni mmeingiza ktk miradi isiyo na tija. Kama inalipa basi waguseni na wanadiasa wabunge na Rais.

  • @YunesMzava
    @YunesMzava 7 місяців тому

    Acheni mambo ya kikokotoo,sheria ya mkataba wangu was kazi hausemi hivyo rejea

  • @YohanaKulwa-om3ws
    @YohanaKulwa-om3ws 7 місяців тому

    mi sehemu ambapo sipaelewi nipale unapo enda kujiunga naunga ila inagoma hebu nipen maelekezo namna ya kujiunga

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 місяців тому

    Wapi tatupana namba zenu

  • @SHABANMANENOKUTENKWA
    @SHABANMANENOKUTENKWA 7 місяців тому

    Kwani Raisi halioni hili jamani

  • @johnkapalamula4351
    @johnkapalamula4351 7 місяців тому

    Tunaomba mtu anapo toka kazini apewe ela yake yote.mambo yakupangiana matumizi sio haki.mtu amehenyeka na wahindi miaka mingi.mnazinguwa

  • @fassykibona7212
    @fassykibona7212 7 місяців тому

    Mbona mmeangalia matajilitu2 namaskini hamuwaangalii

  • @beosumali4882
    @beosumali4882 7 місяців тому

    Hakifai mtu afe na chake

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 8 місяців тому

    Hakuna maisha bora kwa kila mtanganyika bali ni maisha mabaya kwa kila mtanganyika hii ni aibu kubwa kwa uongozi wa CCM 🚮

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 8 місяців тому

    Hakuna aliye pokea kwa mikono mwili sio kweli someni comment za watu wanao umia

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 8 місяців тому

    😢😢😢😢😢 aiseee Bora tuhame

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 8 місяців тому

    Hii sio sahihi Mnawadhulumu watu haki zao Mishahara ni midogo sana Wafanyakazi wanastaafu wakiwa hawajajijenga hata kidogo Wengine hawana nyumba Walitegemea hayo malipo kujipatia makazi and then kuendelea na maisha Mnapowapa kiasi hivyo watafanya je??? Halafu akifa watoto wake watafaidia nini??? HUU NI UDHALIMU MKUBWA SANA

  • @RozaliaMagoma
    @RozaliaMagoma 8 місяців тому

    Huon mfumo unaupataje ka. Ni mgeni

  • @nicksonfrancy6043
    @nicksonfrancy6043 8 місяців тому

    Hii ya WhatsApp hamna kitu

  • @AlfredMkoloma
    @AlfredMkoloma 8 місяців тому

    Hatutaki jamani mbona mnatulazimisha?

  • @JumaOmar-f3o
    @JumaOmar-f3o 9 місяців тому

    Wewe unaongea pumba ,msenge nini.

  • @twalibmassea6593
    @twalibmassea6593 9 місяців тому

    Wezi wakubwa nyie

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 9 місяців тому

    Pumbavu

  • @simonjohn1865
    @simonjohn1865 9 місяців тому

    Wawe wananyoosha maelezo sisi ndio wanachama

    • @simonjohn1865
      @simonjohn1865 9 місяців тому

      Jamani Wanachama wa nssf kama Kuna mtu kapata hiyo app na anaitumia basi atuambie

  • @simonjohn1865
    @simonjohn1865 9 місяців тому

    Hata mimi inaandika name mismatched

    • @simonjohn1865
      @simonjohn1865 9 місяців тому

      Nimekaribu hata kuchukua namba Yao ya wassup nimeishia kuandika neno below habari Toka saa Tisa hadi sasa hivi hakuna jubu

  • @FilbertSamson
    @FilbertSamson 9 місяців тому

    Wafanyakazi tuungani kupinga kikokotoo kipya

  • @Mwl_Sanga
    @Mwl_Sanga 9 місяців тому

    Pumbafu kabisa