- 2
- 208 621
Kwaya Katoliki
Приєднався 24 січ 2024
Kwaya katoliki
NAJIVUNIA Nimezaliwa kwenye Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume - MKATOLIKI SIMAMA
Kwaya ya Mtakatifu Sesilia Makuburi
NAJIVUNIA Nimezaliwa kwenye Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume - MKATOLIKI SIMAMA
NAJIVUNIA Nimezaliwa kwenye Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume - MKATOLIKI SIMAMA
Переглядів: 76 098
Відео
NYIMBO ZA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU - 2024
Переглядів 134 тис.Рік тому
nyimbo za kuabudu Ekaristi Takatifu
Yesu wa ekarist takatiful ijalie familia yangu neema zako🙏🏿🙏🏿
Mimi Mkatoliki, proudly❤🤗
Ee Yesu wa Ekaristi nakuomba ulinzi na neema zako kwenye maisha yangu na watoto wangu
Najivunia nimezaliwa kwenye moja
Mungu nakushukuru kwa hii kibali umenipa,pia umenijalia neema naikabidhii familia yangu, kazi yangu na pia wale hawana mahali ya kuenda kupata mkate wa kila siku katika uwezo wako nena neno moja tu naroho zetu zitapona
Ee bwana twakuomba utuskie
Nafsi yangu imelidhika sana nilivyo sikiliza huu wimbo 😊
I really love this song
❤❤ GOOD
Proud Catholic for ever 🎉🎉🎉
Jamani hongereni san kwa tunem wenu mung awazidishie barak zake mkimsif nakumtukuza kwanyimbo nzuri
Namshukuru mung kwakua nimechagua kua mkatoriki mung nilinde kwenye imani yangu
❤Amina
7:35 7:37
Ehe we ekaristi kuabudu naomba nisaidie katika mtihani yangu ninayo Anza 11 mwenzi 2025 mtihani wa yuwi 2, wewe mwenyezi Mungu nasema asante kwa kunijalia afya njema piha naomba niepushe na magonjwa katika kipindi ninacha kalibia mitihan
I love the song 😊❤
Najivunia kuwa mkatoliki
Kelele moja kwa wakatolic🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤️❤️❤️❤️❤️
Nawashukuru wazazi wangu kwa kunizalia kwenye familia yenyi hii Imani fire. Hakika najivunia Ukatoliki wangu.
Asante sana Yesu
thanks to whoever prepared this mix 😍
❤❤❤❤
Yesu wa ekarist nijalie 2025 ndoto zangu zitimie
Najivunia kuwa mkatoriki
Katoliki la mitume😍😍😍😍😍
Woow.such a beautiful song🥰🙏
Eucharist Adoration be my strength and center of My family
Najivunia kuwa mkatoliki nimezaliwa kwenye Moja
Mungu awabariki sana watunzi me najivunia sana
❤
Voice combinations
Wimbo Mzuri sanaaaa Yaani nota za kikatoliki hasa. Hongera kwa Mtunzi na Kwaya mmeutendea ❤❤❤🎉🎉 Nimebatizwaaaaaa mi Mkatolikiiiiii
Feeling nourished and energized ...ooh body and blood of Jesus!!
❤❤
My favourite song ever❤❤
Kanisa katoliki ndilo Pekee Bwana YESU KRISTU aliloachia funguo kwa Mtume Petrol Hongereni saaana
Mdada aliyekuwa anaimba kwenye sherehe kanileta hapaaa, tujuane jaman, najivunia kuwa mkatolik🤗🙏
Eee Yesu wa Ekaristi naomba uniponye magonjwa yanayo nisumbua
Najivunia kuwa mkatoliki, kanisa ambalo popote utakapoenda maadhimisho ni moja kwa siku. Hongerani sana wanakwaya
Huu niliusikia juzi ndugu zao wakiumba yahani kizito bonge la wimbo,hongera kwa mtunzi
Najivunia kuzaliwa kwenye kanisa moja Takatifu Catholic ❤❤❤❤
Wimbo mzuri kabisa uliojaa mafunzo mengi ya kanisa Katoliki.Hongera.
🎉wow God bless you all
Mm mkatoliki Hongera sana
Yesu katika Ekaristi takatifu nijalie neema na unijaze na Roho Mtakatifu Mungu niishi kama mapenzi yako. Amina
Mimi mkatoliki nimebatizwa kwenye moja
Dear Lord, i pray for financial freedom so that i may serve you better. In Jesus Name Amen.
Yesu naomba uniponye
Mungu naomba uniponye magonjwa yanayonisumbua afya yangu
Mungu wangu nikumbuke kwa maombi yangu