- 900
- 199 782
AMINIFU TV
Приєднався 25 тра 2020
AMINIFU TV
UTANGULIZI
AMINIFU TV ni Channel mpya kabisa ya Kimtandao yenye usajili wa TCRA Namba TCRA/OCS-OT/0372/2020 iliyoanzishwa nchini Tanzania chini ya Kampuni ya Maternal Lives lenye usajili wa BRELA NO. 141272780.
DIRA
Dira ya Maternal lives Tanzania ni Jamii na Familia Bora zenye afya, Furaha Haki na Amani katika mfumo wa Nyumba aminifu
TUNATHAMINI
1. Tunathamini taaluma, maadili mema kwa misingi ya Mila na desturi zetu njema, mafundisho ya Dini na maisha ya Kikristo
2. Tunathamini Heshima, Umoja, Amani na Ushirikiano katika kuleta maendeleo ya watu
3. Tunathamini haki za Binadamu, haki ya mama na mtoto na Utu wa mwanadamu
4. Tunathamini usawa wa Kijinsia, fursa sawa na Kujengeana uwezo ilikukabiliana na changamoto za maisha
5. Tunathamini mtu kuzingatia vigezo, kanuni na sheria za nchi bila shuruti.
MWISHO
Maternal lives Television ni kwa majibu ya maswali yaliyoshindikana yahusuyo Familia na maendeleo ya Jamii yetu. KARIBUNI NYOTE

BARAZA LA MAASKOFU LAWAASA WANAFAMILIA KULINDA NA KUTETEA UHAI NA ARKIASKOFU JIMBO KUU DSM RUWAICHI
Akiongea na Waandishi wa Habari baada ya adhimisho la sadaka ya Misa Takatifu ya Shukrani Jubilei yake ya fedha ya Uaskofu na Uzinduzi wa Ofisi Mpya za Parokia ya Bikira Maria Maria Mama wa Huruma Mjimpya Relini, Mha Arkiaskofu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam ambaye pia ni mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania - TEC amesema kitendo cha baadhi ya Watanzania kuuawa ni cha kulaaniwa na kukemewa vikali maana hakuna mtu yeyote duniani mwenye haki ya kuondoa uhai wa mtu mwingine. Amewaasa Wanafamilia hasa Wanandoa kuwa mstari wa mbele kulinda na kutetea Uhai
Переглядів: 570
Відео
WAZIMBABWE WAUPOKEA UTUME WA FAMILIA NYUMBA AMINIFU KWA SHANGWE,, JIONEE MWENYEWE
Переглядів 2257 годин тому
ALIKUWA AKIZUNGUKA GALILAYA YOTE, AKIHUBIRI HABARI NJEMA YA UFALME WA MUNGU NA KUPONYA MAGONJWA NA UDHAIFU WA KILA NAMNA, TUMEBATIZWA TUMETUMWA KWENDA KUHUBIRI HABARI NJEMA KWA KILA KIUMBE - Mt4:23-24, Mk16:15-16
MAHUBIRI YA MHA ASKOFU MKUU YUDA THADEUS RUWAICHI JIMBO KUU KATOLIKI DSM SHEREHE YA MAVUNO 2024
Переглядів 27716 годин тому
UMEKUWA SASA UTAMADUNI WA JIMBO KUU KATOLIKI DAR ES SALAAM KILA MWAKA KUMSHUKURU MUNGU KWA YOTE ALIYOTUJALIA MWAKA MZIMA KWA KUFANYA SHEREHE KUBWA IKIWA NI PAMOJA NA KUTOA MAVUNO YA KAZI MBALIMBALI WAFANYAZO WANAN DAR ES SALAAM. KWA KWELI NI KWAMBA DUNIA NA VYOTE VIIJAZAVYO TUKIWEMO NA SISI WENYEWE NI MALI YAKE HIVYO YATUPASA KUMHESHIMU NA KUMSHUKURU MUNGU KWA MALI ZETU - Zab 24:1-6
USIBABAIKE, WAPELEKE WANAO KUSOMA ST ROSALIA SCHOOLS JIJINI DAR ES SALAAM, NI ZAWADI YA WATANZANIA
Переглядів 433Місяць тому
USIBABAIKE, WAPELEKE WANAO KUSOMA ST ROSALIA SCHOOLS JIJINI DAR ES SALAAM, NI ZAWADI YA WATANZANIA
MAJIBU KWA WACHUMBA WASIOELEWEKA NA NDOA ZENYE MISUKOSUKO SASA YAPATIKANA KITUO CHA HIJA PUGU DSM
Переглядів 3102 місяці тому
MAJIBU KWA WACHUMBA WASIOELEWEKA NA NDOA ZENYE MISUKOSUKO SASA YAPATIKANA KITUO CHA HIJA PUGU DSM
NGONJERA MIAKA 50 YA JUMUIYA NDOGONDOGO TANZANIA YASHUSHWA NA VIWAWA WA MTINKO - JIMBO LA SINGIDA
Переглядів 7673 місяці тому
NGONJERA MIAKA 50 YA JUMUIYA NDOGONDOGO TANZANIA YASHUSHWA NA VIWAWA WA MTINKO - JIMBO LA SINGIDA
MOJA WA BOOKSHOP KALI ZA JIJINI DAR ES SALAAM NI MSIMBAZI CENTRE BWANA, PITA MWENYEWE UJIONEE
Переглядів 3254 місяці тому
MOJA WA BOOKSHOP KALI ZA JIJINI DAR ES SALAAM NI MSIMBAZI CENTRE BWANA, PITA MWENYEWE UJIONEE
MWAMINI KATOLIKI AMPINGA MCHUNGAJI MLOKOLE KWA UZUZI KWAMBA YESU SIYO MUNGU, IMEANDIKWA MT24:24-28
Переглядів 6575 місяців тому
MWAMINI KATOLIKI AMPINGA MCHUNGAJI MLOKOLE KWA UZUZI KWAMBA YESU SIYO MUNGU, IMEANDIKWA MT24:24-28
WIMBO WA WANAUTUME WA FAMILIA YA NYUMBA AMINIFU WA HIT KONA ZOTE NCHINI TANZANIA, USIPITWE
Переглядів 5625 місяців тому
WIMBO WA WANAUTUME WA FAMILIA YA NYUMBA AMINIFU WA HIT KONA ZOTE NCHINI TANZANIA, USIPITWE
DAKIKA 7 ZA RETIRED (CDF) VENANCE MABEYO KUGAWA SILAHA ZA KIROHO KWA FORMER SEMINARIANS WA DSM
Переглядів 8398 місяців тому
DAKIKA 7 ZA RETIRED (CDF) VENANCE MABEYO KUGAWA SILAHA ZA KIROHO KWA FORMER SEMINARIANS WA DSM
SEMINA ZA NYUMBA AMINIFU, ZINARUDISHA NA KUIMARISHA MAPENZI KWA WANANDOA. SIKIA USHUHUDA HUUUTAPENDA
Переглядів 1738 місяців тому
SEMINA ZA NYUMBA AMINIFU, ZINARUDISHA NA KUIMARISHA MAPENZI KWA WANANDOA. SIKIA USHUHUDA HUUUTAPENDA
MASWALI NA MAJIBU YA PAPO KWA HAPO KUHUSU NDOA YA KIKATOLIKI YAJIBIWA MUBASHARA BILA KUPEPESA MACHO
Переглядів 3168 місяців тому
MASWALI NA MAJIBU YA PAPO KWA HAPO KUHUSU NDOA YA KIKATOLIKI YAJIBIWA MUBASHARA BILA KUPEPESA MACHO
KWARESMA NDIYO HII, KUFUNGA, KUTUBU, KUSALI, KUTENDA MATENDO YA HURUMA NA KUNYOOSHA SAFARI YA KIROHO
Переглядів 269 місяців тому
KWARESMA NDIYO HII, KUFUNGA, KUTUBU, KUSALI, KUTENDA MATENDO YA HURUMA NA KUNYOOSHA SAFARI YA KIROHO
MAISHA YA UTAWA YANA RAHA YAKE, MSICHANA MWENYE WITO WASILIANA NA MASISTA WA MKOMBOZI 0688347562
Переглядів 4259 місяців тому
MAISHA YA UTAWA YANA RAHA YAKE, MSICHANA MWENYE WITO WASILIANA NA MASISTA WA MKOMBOZI 0688347562
PADRE JOHN J. MUNGONI WA JIMBO KUU KATOLIKI TABORA LEOATIMIZA MIAKA YA KIBIBLIA 70yrs (ZAB 90:10)
Переглядів 31110 місяців тому
PADRE JOHN J. MUNGONI WA JIMBO KUU KATOLIKI TABORA LEOATIMIZA MIAKA YA KIBIBLIA 70yrs (ZAB 90:10)
MAPEPO NA UWINGAJI NDANI YA KANISA KATOLIKI KUNA UTARATIBU WAKE NA SHERIA KAN NA 1172 PD TITUS AMIGU
Переглядів 1,5 тис.10 місяців тому
MAPEPO NA UWINGAJI NDANI YA KANISA KATOLIKI KUNA UTARATIBU WAKE NA SHERIA KAN NA 1172 PD TITUS AMIGU
RENALDA WA RADIO MARIA NAYE AONDOKA AKITABASAMU NA MWANYA WAKE, KAWAACHA MARAFIKI WA RADIO VILIO TU
Переглядів 5 тис.10 місяців тому
RENALDA WA RADIO MARIA NAYE AONDOKA AKITABASAMU NA MWANYA WAKE, KAWAACHA MARAFIKI WA RADIO VILIO TU
PD INNOCENT AWACHANA MASHOGA LIVE, ANUKUU 'FIDUCIA SUPPLICANS' YA PAPA FRANCIS, DHAMBI HAIBARIKIWI
Переглядів 72311 місяців тому
PD INNOCENT AWACHANA MASHOGA LIVE, ANUKUU 'FIDUCIA SUPPLICANS' YA PAPA FRANCIS, DHAMBI HAIBARIKIWI
WANANYUMBA AMINIFU WAKUTAKIA HERI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA 2024
Переглядів 21111 місяців тому
WANANYUMBA AMINIFU WAKUTAKIA HERI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA 2024
PADRI PIUS Atoa SIKU 7 Vijana Kujitathmini Mapungufu, ILI KUJIANDAA KWA Noel, Wameungama WACHACHE TU
Переглядів 12811 місяців тому
PADRI PIUS Atoa SIKU 7 Vijana Kujitathmini Mapungufu, ILI KUJIANDAA KWA Noel, Wameungama WACHACHE TU
PADRE ATOA MALIPIZI, MUUNGAMAJI, MAMA AZAA WATOTO 8 KUTUBU KUTUMIA VIDHIBITI MIMBA - ISA66:9
Переглядів 64611 місяців тому
PADRE ATOA MALIPIZI, MUUNGAMAJI, MAMA AZAA WATOTO 8 KUTUBU KUTUMIA VIDHIBITI MIMBA - ISA66:9
WAWATA CHIPUKIZI Jimbo KATOLIKI Morogoro WAFAIDI SEMINAR YA NYUMBA AMINIFU Washuhudia WALICHOPATA
Переглядів 23711 місяців тому
WAWATA CHIPUKIZI Jimbo KATOLIKI Morogoro WAFAIDI SEMINAR YA NYUMBA AMINIFU Washuhudia WALICHOPATA
MARIA asema UZAZI wa Mpango kufuata MAUMBILE ndiyo DILI ule wa KISASA wa dawa za MAJIRA Unamaudhi
Переглядів 15111 місяців тому
MARIA asema UZAZI wa Mpango kufuata MAUMBILE ndiyo DILI ule wa KISASA wa dawa za MAJIRA Unamaudhi
WACHUMBA Wakibahatika kushiriki Semina za Nyumba Aminifu, HUENJOY Sana NDOA yao BAADAYE,
Переглядів 10211 місяців тому
WACHUMBA Wakibahatika kushiriki Semina za Nyumba Aminifu, HUENJOY Sana NDOA yao BAADAYE,
BW BENARD KIMARIO NA EMMANUELA TAIRO MIAKA 27 YA NDOA WASIFU SEMINA YA NYUMBA AMINIFU
Переглядів 3511 місяців тому
BW BENARD KIMARIO NA EMMANUELA TAIRO MIAKA 27 YA NDOA WASIFU SEMINA YA NYUMBA AMINIFU
PADRE MATEO NTAMABOKO MKONGWE KUFUNDISHA SEMINARINI, TANGU 1975 HADI LEO, AASA LIKIZONI WAFATILIWE
Переглядів 249Рік тому
PADRE MATEO NTAMABOKO MKONGWE KUFUNDISHA SEMINARINI, TANGU 1975 HADI LEO, AASA LIKIZONI WAFATILIWE
MLEZI AU MZAZI MWENYE BINTI ANAYETAMANI UTAWA TAARIFA HII MUHIMU ISIKUPITE - MABINTI WA MARIA KUZURI
Переглядів 633Рік тому
MLEZI AU MZAZI MWENYE BINTI ANAYETAMANI UTAWA TAARIFA HII MUHIMU ISIKUPITE - MABINTI WA MARIA KUZURI
KWA NINI baadhi ya WANAUME Hutelekeza FAMILIA na KUKIMBIA MIJI yao ???
Переглядів 161Рік тому
KWA NINI baadhi ya WANAUME Hutelekeza FAMILIA na KUKIMBIA MIJI yao ???
ALIYOSEMA PADRI DENIS WIGIRA NA BABA YAKE BAADA YA MAZIKO YA MAMA AGNES MATHIAS WIGIRA - MAKABURINI
Переглядів 1,1 тис.Рік тому
ALIYOSEMA PADRI DENIS WIGIRA NA BABA YAKE BAADA YA MAZIKO YA MAMA AGNES MATHIAS WIGIRA - MAKABURINI
CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA WANAUME NA WANAWAKE KIASI CHA KUSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU ZAO
Переглядів 105Рік тому
CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA WANAUME NA WANAWAKE KIASI CHA KUSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU ZAO
Asante kwa uinjilishaji
Hongera sana kwa utyme
ASANTE KWA KUTUINJILISHA
ASANTE SANA AMINIFU TV. MUNGU AKUBARIKI
Mabinti safi.
❤❤Hongereni sana Sasa mko masista❤❤waooh
Hongera Sana Baba maziku Kwa huduma hii na zaidi huduma ya kuturlimisha kuhusu Ndoa ya kikatoliki.
Asante sana baba kweli wakristo wengi hutekwa na miujiza
Tunawatakia kila la kheri ktk ndoa yao. Mungu awatunze.
Ndoa yao iwe na Amani na Furaha
Way to go.
Nautafuta original
Hongeren sana wapendwa tuko pomoja nawaombea muishi kadili ya waito nawapenda sana by da eva 2019
Félicitation
Hongera sana dada zetu wanajubilei
Matangazo yenu yanakatika
Hongereni mabinti wa maria kazi yenu njema mwenyezi mungu azidi kuwapa maono viongozi wenu
Naomba kujua ni utunzi wa nani na unaitwaje
Ngonjera nzuri sana yenye kuonyesha changamoto zilizopo kwenye Jumuiya ndogondogo. Hongera VIWAWA Mtinko
😮huna akili chizi wewe unabishana na nguvu ya roho mtakatifu ngoja kwanza siku yakuchape na ndio utajua
Naomba kujiunga na shirika lenu.
Ingia kwenye website yao dada upate n̈amba za mkurugenzi wa miito
Hongereni umependeza ila Tu masweta ranging nyingi mno mpange rangi za masweta mtapendeza zaidi
Mfikie na muishii lengoo siko zote za utawa wenu 😢😢😢😢😢
Mungu ni mwema
Tumsifu Yesu kirsto nyumba aminifu Mimi ni binti Nina miaka 22 natamani niwe mtawa sijui nianzie wapi naomba msaada wenu
Mbarikiwe sana
Kweli tunamshukuru Mungu, kwa kutupatia zawadi ya Padri wa kwanza katika parokia yetu, tunamuombea, Mungu mwenyewe amlinde, Roho mtakatifu awe nae siku zote.Asante Mungu kwa ajili ya Padri Justin❤❤🔥🔥🔥🔥
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿FAMILIA BORA KATIKA NYUMBA AMINIFU. MMEPANDA MBEGU NJEMA. MWENYEZI MUNGU AWATUNJE KATIKA UTUME NA UTUMISHI WAKE. 🙏🏿
Safi Sana Family
Asanteni kwa Somo zuri Mr. and Mrs Maziki.
Hongereni kwa kutetea Imani
Barikiwa sana Mr &Mrs Paschal Maziku kwa utume
Amina tubarikiwe sote ndugu yangu
Amina tubarikiwe sote
Tunashukuru 💪🙏
AsanteTumshukuru Mungu
Imefurahi saana 😂😂😂yaan NIMEKOSEKANA mm to sauti ya lll apo
Hongera sana kwa utume , wimbo mzuri
Hongereni kwa utume 🤗
Ifakara yetu mungu azidi kutubariki🙏🙏🙏
Ilikuwa ni sikuu njemaa kwelii❤❤
Mji mpya 🔥🔥 hongereni kwa maandamano ya ekaristi ❤❤
Natamani nipate nafasi ya mtoto plz.
Woow
Hongera Sana baba umetisha vijana unawaandalia vitu tofauti tofauti binafisi nimetamani Kuja kushiliki
Hongereni sana chama langu, very soon narudi kundini
Mpiga ngoma upo vzr hongera sana🎉🎉❤❤😂
Daaaah mnanikumbusha mbali sanaa
Hongera kwa utume.
Asante mwalim
TYK ndugu wote. Asante sana Aminifu TV kwa kurusha semina ya uongozi kama lilivowasilishwa na ndugu hawa Paschal na Malania Maziku. Kwa kweli Mungu amewabariki. Asanteni sana kwa kuzitumia vema karama za kufundisha mlizojaliwa na Mungu wetu. Mmetumia lugha vema kwa kuzungumza Kiswahili fasaha. Umahiri wa Paschal katika kurejea vifungu vya Biblia Takatifu ninausifu sana. Sataili ya uwasilishaji- kuongea kwa zamu/kupokezana kumefanya walisho lisichoke. Bila kusahau:Jamani mmependeza. Mungu awabariki.
❤❤❤❤
Mwafanga na anya siuyu wasalimieni sana huko na anya ngaghe
❤