Singida Municipal Council Official Channel
Singida Municipal Council Official Channel
  • 223
  • 34 414

Відео

MAGEREZA WILAYA YA SINGIDA WAKUMBUKWA
Переглядів 4221 годину тому
MAGEREZA WILAYA YA SINGIDA WAKUMBUKWA
ZIARA YA WAJUMBE WA MFUKO WA BODI
Переглядів 4214 днів тому
ZIARA YA WAJUMBE WA MFUKO WA BODI
MIAKA 63 YA UHURU WA TANZANIA MKOA WA SINGIDA VIONGOZI WANENA
Переглядів 5128 днів тому
Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika , Mhe Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Singida akiongoza zoezi la upandaji wa miti katika Hospitali ya Rufaa ya Mandewa, Manispaa ya Singida.
MANISPAA YA SINGIDA KUPANDA MITI 650 KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANZANIA BARA
Переглядів 71Місяць тому
Kuelekea kilele cha maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, Halmashauri ya Manispaa ya Singida, chini ya Kaimu Mkurugenzi, Edward Mboya, imefanikiwa kupanda miti 150 katika Shule ya Sekondari ya Mandewa na kesho siku ya Desemba 9, 2024 miti 500 itapandwa katika eneo la Hospitali ya Rufaa ya Mandewa. Akizungumza wakati wa shughuli hiyo, Mboya alisema kuwa upandaji wa miti ni sehemu muhimu ya maadhim...
FAHAMU MAENDELEO YA UJENZI A SHULE MPYA YA MWAJA
Переглядів 20Місяць тому
Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwaja unaendelea katika eneo la Mwaja, Kata ya Mandewa. Shule hiyo, ambayo inajengwa kwa fedha za serikali, imetengewa kiasi cha shilingi milioni 544,225,626 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo. Kwa sasa, ujenzi umefikia hatua ya lenta, ambapo majengo mengine yako katika hatua ya mwisho kabla ya kupigwa kenchi. Ujenzi huu unahusisha ujenzi wa madarasa 08, maaba...
UJENZI WA NYUMBA ZA WALIMU SEKONDARI YA UTEMINI
Переглядів 29Місяць тому
Mradi wa ujenzi wa nyumba ya walimu katika Shule ya Sekondari ya Utemini, unazidi kupiga hatua. Ujenzi wa nyumba hiyo, inayojumuisha nyumba za walimu (2/1), unagharimu jumla ya shilingi milioni 95. Hadi sasa, ujenzi umefikia hatua ya msingi, ambapo jamvi linamwaga kwa ajili ya kuimarisha msingi kabla ya kuanza kwa ujenzi wa ukuta. Baada ya kumalizika kwa hatua hiyo, ujenzi wa ukuta utaanza ili ...
MKURUGENZI WA SINGIDA AWAPONGEZA VIONGOZI WAPYA WA SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 287Місяць тому
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Bi. Joanfaith Kataraia, amewapongeza viongozi wapya wa Serikali za Mitaa na kuwaasa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi, ikiwa ni pamoja na kusimamia mapato, miradi ya maendeleo, na kuwa sauti ya wananchi kwa kusikiliza kero zao. Kauli hiyo imetolewa leo, Novemba 28, 2024, wakati viongozi wapya wa Serikali za Mitaa kutoka Kata zote walioshinda k...
VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA, MANISPAA YA SINGIDA WAAPISHWA
Переглядів 18Місяць тому
Wagombea mbalimbali walioweza kushinda nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Nafasi mbalimbali ikiwemo Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na Wajumbe wa kundi mchanganyiko na wanawake mapema hii leo wameapishwa katika Ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi na Hakimu Ferdinand Njau kutoka Mahakama ya Mwanzo ya Utemini, Manispaa ya Singida. Na viongozi hao wapo tayari kwa ute...
WALIMU WAMETISHA SANA
Переглядів 103Місяць тому
WALIMU WAMETISHA SANA
DC GONDWE AKATAA ZERO WILAYA YA SINGIDA, AWAPONGEZA WALIMU
Переглядів 27Місяць тому
DC GONDWE AKATAA ZERO WILAYA YA SINGIDA, AWAPONGEZA WALIMU
RC DENDEGO AWAPONGEZA WALIMU, AWAASA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 47Місяць тому
RC DENDEGO AWAPONGEZA WALIMU, AWAASA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
WASIMAMIZI WA VITUO NA MAKARANI WANATAKIWA KUFUATA SHERIA ZA UCHAGUZI
Переглядів 48Місяць тому
Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri Manispaa ya Singida, Bi Joanfaith Kataraia akizungumza na Wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wakati wa mafunzo leo Novemba 22, 2024 ikiwa ni maandalizi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
WALIMU WILAYA YA SINGIDA WAMTAJA RAIS SAMIA
Переглядів 37Місяць тому
WALIMU WILAYA YA SINGIDA WAMTAJA RAIS SAMIA
MWALIMU NA SAMIA KUIBEBA WILAYA YA SINGIDA
Переглядів 48Місяць тому
MWALIMU NA SAMIA KUIBEBA WILAYA YA SINGIDA
MEYA ATAKA TAARIFA SAHIHI ZA RUZUKU ZINAZOTOLEWA KUELEKEA MSIMU WA KILIMO KWA WANANCHI
Переглядів 31Місяць тому
MEYA ATAKA TAARIFA SAHIHI ZA RUZUKU ZINAZOTOLEWA KUELEKEA MSIMU WA KILIMO KWA WANANCHI
MKURUGENZI MANISPAA ATOA UHABARISHO WA UTARATIBU MPYA WA MIKOPO YA 10% KATIKA BARAZA LA MADIWANI
Переглядів 6Місяць тому
MKURUGENZI MANISPAA ATOA UHABARISHO WA UTARATIBU MPYA WA MIKOPO YA 10% KATIKA BARAZA LA MADIWANI
MEYA ASISITIZA MAPATO ATAKA USHIRIKIANO KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 26Місяць тому
MEYA ASISITIZA MAPATO ATAKA USHIRIKIANO KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
1UN WOMEN YAWAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI MANISPAA YA SINGIDA
Переглядів 36Місяць тому
1UN WOMEN YAWAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI MANISPAA YA SINGIDA
WAGOMBEA MSIKIENI WAZIRI
Переглядів 1,2 тис.Місяць тому
WAGOMBEA MSIKIENI WAZIRI
WANAFUNZI 2,262 WA KIDATO CHA NNE MANISPAA YA SINGIDA KUFANYA MITIHANI
Переглядів 58Місяць тому
WANAFUNZI 2,262 WA KIDATO CHA NNE MANISPAA YA SINGIDA KUFANYA MITIHANI
KAMATI YA MTAKUWWA YA MANISPAA SINGIDA YAJENGEWA UWEZO
Переглядів 222 місяці тому
KAMATI YA MTAKUWWA YA MANISPAA SINGIDA YAJENGEWA UWEZO
KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA KATA YAPEWA MAFUNZO YA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE
Переглядів 292 місяці тому
KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA KATA YAPEWA MAFUNZO YA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE
DC GONDWE AKISIKILIZA KERO ,AHAMASISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 252 місяці тому
DC GONDWE AKISIKILIZA KERO ,AHAMASISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
MSIKIE WAZIRI WA HABARI AKIWA KATIKA MABWAWA YA MAJITAKA MANISPAA YA SINGIDA
Переглядів 1132 місяці тому
MSIKIE WAZIRI WA HABARI AKIWA KATIKA MABWAWA YA MAJITAKA MANISPAA YA SINGIDA
MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU YATOLEWA
Переглядів 462 місяці тому
MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU YATOLEWA
MSIMAMIZI WA MSAIDIZI WA UCHAGUZI ASIMAMIA VIAPO VYA MAWAKALA WA CHAMA
Переглядів 582 місяці тому
MSIMAMIZI WA MSAIDIZI WA UCHAGUZI ASIMAMIA VIAPO VYA MAWAKALA WA CHAMA
WAZIRI SILAA APONGEZA UWEKEZAJI WA NDANI SEKTA KILIMO, VIWANDA
Переглядів 1232 місяці тому
WAZIRI SILAA APONGEZA UWEKEZAJI WA NDANI SEKTA KILIMO, VIWANDA
MKURUGENZI MANISPAA AWAPONGEZI WATENDAJI, ATAKA WAWAJIBIKE
Переглядів 92 місяці тому
MKURUGENZI MANISPAA AWAPONGEZI WATENDAJI, ATAKA WAWAJIBIKE
"WANANCHI MKAJIANDIKISHE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA"
Переглядів 452 місяці тому
"WANANCHI MKAJIANDIKISHE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA"

КОМЕНТАРІ

  • @everlynkilimba3963
    @everlynkilimba3963 Місяць тому

    Hongera manispaa ya Singida Hongera Hosipitali ya Rufaa.

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai Місяць тому

    Hawa wote na na we ded ni wajinga watupu pumbavu kabisa

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 Місяць тому

    Picha la kihindi hilo

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil Місяць тому

    Yani we Kuma kweri

  • @MuganyiziJudex
    @MuganyiziJudex Місяць тому

    Mbona maelezo yako hayafanani na watendaji wako?

  • @ramsdenjames9782
    @ramsdenjames9782 6 місяців тому

    Idara zingine hamzioni mnaona walim tu, Shida nini

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 7 місяців тому

    Nampogeza mama kutukumbuka Wana singida mwenyez mungu akupe umri mrefu sana mama yetu

  • @winnifridangahyoma9127
    @winnifridangahyoma9127 9 місяців тому

    Pambana mama na Mungu akutie nguvu

  • @abelkingu4653
    @abelkingu4653 10 місяців тому

    Hili halina matokeo chanya kwa singida, Binafsi Nilikuwa na imani kubwa na serukamba kwa Singida!

  • @amazingnecla
    @amazingnecla 10 місяців тому

  • @everlynkilimba3963
    @everlynkilimba3963 10 місяців тому

    Inawezekana ,kwa msaada wa MUNGU na juhudi pia, wataalam ,tutajitahidi kwa kadiri iwezekanavyo .tufikie malengo.

  • @funspoti737
    @funspoti737 11 місяців тому

    Pongezi kwa Manispaa

  • @annamassao8701
    @annamassao8701 11 місяців тому

    Safi sana hii

  • @bahatimugabo9642
    @bahatimugabo9642 Рік тому

    ❤ Talgwu Hongera Kwa kuchangia shughuli za maendeleo

  • @EisseOsman
    @EisseOsman Рік тому

    Y😢😂🎉😮😮😅😊