BETTER WORLD
BETTER WORLD
  • 17
  • 15 116
YATAPITA - Diamond Platnumz (lyrics et version française)
#yatapita #diamondplatnumz #tanzania #yatapitalyrics #yatapitafrenchversion #yatapitaversionfrancaise
🎤🎶 yatapita lyrics :
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo, nivumilie
Amini tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau (Wote)
Na ntakununulia (Vyote)
Mawigi na simu (Vyote)
Ntakuzawadia (Vyote)
Pochi zenye thamani (Vyote)
Nawe uende waringishia (Vyote)
Utembee kwa uskani (Vyote)
Na vioo ukiwafungia (Vyote)
Aloiumba leo ni mungu na ndio ataiumba kesho
Amini fungu letu laja haliko mbali
Alisema mtazaa kwa uchungu, tutatafuta kwa mateso
Baby mitihani kawaida usijali, mnh!
Kidogo nnachokuletea usinune pokea
Nipate moyo nifariji
Na juhudi naziongezea usichoke niombea
Molah atubariki zaidi
Mungu kakupa sura kakupa shepu
Nyuma chura mambo yetu
Mwana wa sanura, mwenzako mimi I love you
Umeniteka medula niko fyetu
Akili haina ndala iko peku
Umenivurura, mwenzako mimi I love you
Ooh nivumilie
#yatapita #yatapita #diamond #diamondplatnumz #diamondplatnumztypebeat #diamondplatnumz_trends
#diamondplatnumzsongs
#lyrics #trendingsongs #yatapita #tanzania
#yatapita #diamondplatnumz #tanzania #yatapitalyrics #yatapitafrenchversion #yatapitaversionfrancaise
Переглядів: 1 636

Відео

COUPLES : 07 CONSEILS POUR QUE L'AMOUR DURE TOUJOURS.
Переглядів 11 тис.Рік тому
COUPLES : 07 CONSEILS POUR QUE L'AMOUR DURE TOUJOURS.

КОМЕНТАРІ