- 14
- 100 691
KILIMANJARO FISH FARM
Приєднався 26 бер 2018
TUNATOA ELIMU NA MBINU ZA UFUGAJI WA SAMAKI, TUNAUZA VIFARANGA NA CHAKULA CHA SAMAKI 0755285582
EPISODE 6 +255 755 285582 UFUGAJI SAMAKI KWA FAIDA NA YAJUE MAKOSA (6) KATKA UFUGAJI SAMAKI
EPISODE 6 +255 755 285582 UFUGAJI SAMAKI KWA FAIDA NA YAJUE MAKOSA (6) KATKA UFUGAJI SAMAKI
Переглядів: 2 506
Відео
EPISODE:5 +255 755 285582 UFUGAJI SAMAKI KWENYE MABWAWA MADOGO MADOGO SATO NA KAMBALE NA CHANGAMOTO
Переглядів 4,5 тис.Рік тому
EPISODE:5 255 755 285582 UFUGAJI SAMAKI KWENYE MABWAWA MADOGO MADOGO SATO NA KAMBALE NA CHANGAMOTO
EPISODE 4: +255 755 285582 UFUGAJI SAMAKI KWENYE MABWAWA SIRI ILIYOJIFICHA NJIA ZA KUFUGA KWA FAIDA
Переглядів 4,9 тис.Рік тому
EPISODE 4: 255 755 285582 UFUGAJI SAMAKI KWENYE MABWAWA SIRI ILIYOJIFICHA NJIA ZA KUFUGA KWA FAIDA
#EPISODE 3 +255 755 285582 UFUGAJI SAMAKI YAJUE MABWAWA YA ASILI NA FAIDA ZAKE KWA KUFUGIA SATO
Переглядів 4,5 тис.Рік тому
#EPISODE 3 255 755 285582 UFUGAJI SAMAKI YAJUE MABWAWA YA ASILI NA FAIDA ZAKE KWA KUFUGIA SATO
MIFUMO YA KUONGEZA OXYGEN KWA WENYE MABWAWA MADOGO +255 755 28 55 82
Переглядів 763Рік тому
MIFUMO YA KUONGEZA OXYGEN KWA WENYE MABWAWA MADOGO 255 755 28 55 82
#EPISODE:2 +255 755285582 UFUGAJI SAMAKI AINA ZA MABWAWA YA KUFUGIA SAMAKI,NA JINSI YA KUTENGENEZA
Переглядів 8 тис.Рік тому
mabwawa ya kufugia samaki na namna yanavyotengenezwa kwa kila aina
# EPISODE:1 +255 755285582 ZIJUE MBINU KABLA YA KUANZA KUFUGA SAMAKI SATO/KAMBALE,MABWAWA NA CHAKULA
Переглядів 15 тис.Рік тому
Mbinu za kujifunza kabla hujaamua kuanza kufuga samaki,uchaguzi wa eneo,mbegu bora na maji 255 755 285 582
+255 755285582 FUGA SAMAKI, KISASA:JINSI YA KUTENGENEZA BIOFILTER, KUONGEZA OXYGEN NDANI YA BWAWA
Переглядів 14 тис.2 роки тому
255 755285582 FUGA SAMAKI, KISASA:JINSI YA KUTENGENEZA BIOFILTER, KUONGEZA OXYGEN NDANI YA BWAWA
+255 755285582 MBINU ZA KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI CHA KUELEA CHA PELLET KWA MASHINE YA NYAMA
Переглядів 15 тис.3 роки тому
255 755285582 MBINU ZA KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI CHA KUELEA CHA PELLET KWA MASHINE YA NYAMA
+255 755 285582 NJOO TUKUFUNDISHE KUTOTLESHA/ KUZALISHA VIFARANGA VYA SAMAKI SATO NA KAMBALE
Переглядів 6 тис.4 роки тому
255 755 285582 NJOO TUKUFUNDISHE KUTOTLESHA/ KUZALISHA VIFARANGA VYA SAMAKI SATO NA KAMBALE
JIFUNZE MBINU ZA KULISHA SAMAKI SATO/KAMBALE KWA UKUAJI WA HARÀKA
Переглядів 3,1 тис.4 роки тому
JIFUNZE MBINU ZA KULISHA SAMAKI SATO/KAMBALE KWA UKUAJI WA HARÀKA
JIFUNZE KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI CHA PELLET,,PIA JIPATIE VIFARANGA VYA SAMAKI SATO NA KAMBALE
Переглядів 12 тис.4 роки тому
JIFUNZE KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI CHA PELLET,,PIA JIPATIE VIFARANGA VYA SAMAKI SATO NA KAMBALE
+255 755285582 KARIBU TUKUFUNDISHE KUTENGENEZA CHAKULA BORA CHA SAMAKI CHA SATO/KAMBALE
Переглядів 9 тис.4 роки тому
Tupo kilimanjaro 0755285582
JIFUNZE KUFUGA SAMAKI SATO/KAMBALE KIBIASHARA,
Переглядів 1,6 тис.5 років тому
Pia tunatoa elimu ya ufugaji nadharia na kwa vitendo,ujenz wa mabwawa,utengezaji wa chakula rahisi,soko la samaki na upatikanaji wa vifaranga bora,tupo moshi kilimanjaro,0755285582 / 0712573626
Napenda jamani
Muk0 wapi
Good
Safi saba
Elimu safi sana
Hiyo siyo nailoni, bali ni Turubai
Elmu mzuri mno
❤
Vipi kuhusu masoko?
Ufugaji samaki kwenyemaeneo madogo
Habari,nahitaji ushauri
Natowa salamu mwalimu. Unavyo sema idadi mimi sielewi vizuri maana unasema square meter sijui kama nikwa rindi au la?
Jaman nataman kufuga samaki japo aijajua mtaji wake nikiasi gani hongereni sana
Ufugaji samaki kwenye mabwawa madogo
Aina ni izo mbili za samaki hakuna nyengine
Pesa tupu acha nijipange
Nawakubali sana
Mimi nahitaji kufuga zote
Jamani natamani na napenda kufuga samaki hakuna garama mwanzoni naomba kuuliza funza pia ni chakula cha samaki
Nawafatilia , nimesubscribe , naandaa eneo dogo la kujifunzia , nikishakuwa tayari nitawapigia mnisaidie kupata elimu na kunijengea miundombinu na kuniuzia vifaranga nianze kujifunza kwa vitendo .
Karibu sana
Asante sa kwa ushauri.
Ufugaji katika mabwawa madogo
Naomba aposod zako zote
Jaman tunamba mtuambie na mitaj ya kuanza hiyo project
Safi
Habari nahitaji mashine ya kutengeneza chakura Cha samaki
Mimi nilikuwa naomba kuulza hili je mtu mimi nahitaji kufuga samaki je n mtaji kiasi gani wa kuanza nao?
J ❤
Mabwawa.ya.asili yanafaa Kwa ufugaji wa samaki aina ya sato
Napenda ufugaji wa samaki
Safi sana kwa elimu nzuri sana
Karibu
Jambo na wa fuata ko D R Congo. Ina omba nini kusudi mtu apate mafunzo?
fashi gani uko
Tupigie simu au tuma ujumbe kwa wassap tutakuhudumia
Tupigie au tuma ujumbe kwenye wassap
Nimekuelewa sana mwalimu
Mko vizuri nawafatalia kwa ukaribu nikiwa Mwanza
Shukrani sana
Mbona hutaji ingredints tuzijue
Nimeelewa huo mchanganyiko, asanteeee
Wengine wapya hiyo paret sijui hatuijui ni nini
Sasa hayo ya ardhin so umesema samaki wanazama unaweza usiwapate? Sasa naona Tena la chini la asili ndo nzr, uweke Nini ili ili la chini lisipoteze samaki?
Kwa hiyo hilo la zege unatakiwa ukiweka mfumo wa kutoa na kuingiza maji kila CK yaingie na kutoka au baada ya muda Fulani?
Na kwa tulio mikoa ya mbali tunapataje mbegu? Mfano wengine tupo mkoa wa Lindi
Kwa hiyo kwa vile visima vya kuchimba chini vinafaa maji yake kufugia samaki? Au lazima yawe ya barid Sana?
Asante mwalimu kwa somo zuri
Safi sana sana mkuu
Yes
Yes
Kazi ya pipe ya chini Ni ñin?
je hyo ma shine inauzwa bei gani??
sasa ningependa nijuwe, maji ya na panda kwa nguvu gani kwa ku panda juu?
Naomba kuuliza nini chanzo Cha nguvu inayopump maji?
ningependa ni fahamu mashini iyo inaweza ikahuzikana ngapi
Iko vizuri