- 75
- 15 017
Sauti za Uwape
Приєднався 14 лип 2023
Відео
Pemba Mimi Ndio Kwetu
Переглядів 1,9 тис.21 годину тому
Utunzi wake Mussa Shehe - Ughani wake Ukhty Salma - UWAPE pata ladha halisi ya ushairi kutoka kisiwani Pemba
Kwanini Wanuna UWAPE BEST
Переглядів 13521 годину тому
Kwanini Wanunanuna - Utunzi wake Mohamed Said Kamzore - na Ughani wake Arafa Amour - Pata Ladha hali za UWAPE
KULE KUKUPENDA WEWE
Переглядів 1004 місяці тому
Mtunzi Mohamed Kamzore kupitia sauti ya Ukhty Salma wanakuja na Shairi la Mahaba linalosema KULE KUKUPENDA WEWE - Sikiliza UWAPE na sauti zao za kumtowa nyoka Pangoni na Tungo zenye kuamsha hisia.
BARAFU GUNDU - Nakupenda Mke/Mume Wangu
Переглядів 1624 місяці тому
Moja ya kazi moja ya kuvutia sana iliyoandaliwa na watunzi na waghani wa UWAPE ni Nakupenda Mke/Mume Wangu - Waghani Hamad Faki na Fatma Makame - wakipokezana beti kwa beti kama mke na mume Utunzi wake Kawthar Is-haq Mzee - Mc Balozi na Hamad Khatib Faki - RUMADA . Pata ladha ya UWEPE usisahau Kupuenda kazi zetu na Subscribe ili upatea zaid na zaid
NAPONA BILA YA TIBA
Переглядів 1444 місяці тому
Mtiunzi na Mghani wakinogesha Shairi la Mapenzi linalokwena kwa jina la Kule kukupenda Wewe Napona Bila ya Tiba - ni Utunzi wa Mohamed Said Kamzore na Maghani yake Fatma Makame wa UWAPE. Pata burudani kutoka UWAPE
MOYO HAUSEMEZEKI
Переглядів 1004 місяці тому
Moja ya ladha za UWAPE ni sauti hii ambayo humtowa nyoka pangoni- Pata Utungo wake Mohamed Kamzore kupitia Maghani ya Fatma Makame - anakuja na Shairi Moyo Hausemezeki
Naililia Furaha
Переглядів 2624 місяці тому
Tungo ya Mapenzi iliyoandikwa na Mohamed Said Kamzore na Kughaniwa na Fatma Makame -
Kwanini HUELEWEKI
Переглядів 1894 місяці тому
Msikilize Fatma Makame anavolalamika kuhusu Mpenzi ambaye haeleweki kupitia Utungo wa Mohamed Kamzore
KWAKO NIMETIA NANGA
Переглядів 3808 місяців тому
Miongoni mwa kazi matata sana za Mapenzi zilowahi kutungwa moja wapo ni hii Kwako nimetia Nanga Utunzi wake Sheha Suleiman - Baba Sara na Mghani mwenye sauti yake Fatma Makame.. Sikiliza tambo ufurahike ufarajike. LIKE & SUBSCRIBE OUR CHANNEL PLEASE
Nisubiri Ufukweni
Переглядів 2698 місяців тому
Utunzi wake ABIHA kupitia Ughani wa Arafa Amour - Sikiliza majonzi na tafakari simanzi ya kuzama baharini na maiti ya mapenzi. LIKE and SUBSCRIBE PLEASE
Unipambe Tupambane
Переглядів 1298 місяців тому
Utunzi wake Mohamed Said Mohamed kupitia Ughani wa Arafa Mzee Amour shairi la Mapenzi linalobembeleza upendo kwa wapendanao. Pata ladha halisi za Sauti za UWAPE - Tuunge mkono kwa Kupenda - LIKE na Kusubscribe.
Mwanangu Nivike Nguo
Переглядів 21311 місяців тому
Nivike Nguo mwanangu ni kazi iliyotungwa na Ali Omar Mansour - Kituwa na Kughaniwa na Fatma Makame -
Mmmh wapemba wanawake wanajua kutumia simu android kweli mmmhhh
Pemba ni yetu ni njema ni yenye neema naipenda sana
Naipenda pemba ..kwauma .wetu .km wapemba.
❤❤❤❤
Hakika pemba ndio kwetu
Mashallah mashallah 🎉 hongera sana unajua mamaa
Pemba sio masikni, hilo kaa ukijua .
Sahihi tunaipenda prmba na kuithamini na jifunia kuwa mpemba mkataa kwawo ni mtumwa nyumbani ni nyumbani hata Iwe ni majabalini
Mtu akitaka kukutunza anatumia njia gan au namba gan
Jamani dada umenikumbusha mbali mi Niko mbali kidg ila huko ndio kwetu umenikumbusha mbali unaishi wapi Kwa sasa
You daa
Daresalam
Mashaallhwa
Pemba mkwetu ❤❤❤
hatamimi ni kwetu nakupenda.
Fika haraka jamani usiumie bure😄
Mmmh mughani weee☺️
Ma shaa Allah sauti nzuri...pia jaribu kusoma Quran tajwiid watu watapenda
🎉🎉🎉
❤❤❤ Big up
😢😢 mungu tupe mwisho mwem ...hongera mughani
Salma yahya
😭😭
MashaAllah MashaAllah pendaneni kwani sh. Ngapi?😅😅😅
Ukisikia uchokozi ndio huo 😃😃😃
😘
Mashallah mashallah
Bakia mama usiende kokote❤😅
Nina uyo jamani....❤😅
kazi nzuri san wana uwape muko vzr
Mashaallah 😊
Upo vzr natamani kukuona
Bismillah Masha Allah ❤
Sauti mwanana
MashaAllah MashaAllah 😘😍....
Masha Allah 😂
Masha Allah
Mashaalah
Masha Allah Masha Allah Masha Allah
Maaashalah
Maaashalah
🎉nmependa maqaamati
❤
Ijumaa kareem
Safi mno
Ahsante Ukhut Salma👍🙏👏
Following from Mombasa Kenya
Mashaallah kazi nzuri hongera daa
pepoo
mashalah
Baridi hilooo
😮 dumba jinalo
Wow nice one