- 19
- 711 292
Loice Dama Official
Приєднався 18 кві 2019
MUNGU MWENYE NGUVU
Loice Dama - Nimesamehewa (Official Music Video)
Video filmed by @mmp_studios_ke
Tumenunuliwa kwa bei ghali
Nayo ni damu ya Yesu Kristo
Imetupatanisha pamoja na Mungu wa mbinguni
Ambaye ni baba wa mataifa yote
Nimenunuliwa kwa damu ya bei ghali
Ni damu ya thamana, ya bwana Yesu
Sina wasiwasi, popote napo enda
Nimefichwa mimi, ndani ya damu yake
Nayo magonjwa
Magonjwa sio sehemu yangu
Laana na mikosi
Nayo mikosi, sio sehemu yangu
Kwa maana nimefichwa, ndani ya damu yake
Ooh kwa hiyo damu, nimepatanishwa
Na baba yangu, wa mbinguni
Kwa hiyo damu, nimehesabiwa haki
Ninaitwa mwana, wake Mungu
Tena ni murithi, pamoja naye
Kwa damu yako imetufanya tumesamehewa thambi
Kwa damu yako imetufanya tunaitwa wana
Kwa damu yako tumepatanishwa pamoja naye
Nakwambia nimesamehewa
Nimesamehewa
Kwa kweli nimesamehewa
Nimesamehewa
Oohh nimesamehewa kwa damu yake
Nimesamehewa
Mbona mnanihukumu mie
Nimesamehewa
Damu ya Yesu imenisamehe thambi
Nimesamehewa
Aah nimesamehewa mie
Nimesamehewa
Nakwambia nimenunuliwa kwa damu yake
Nimenunuliwa
Ahh nimenunuliwa kwa damu ya thamana
Nimenunuliwa
Ahh Nimenunuliwa
Nimenunuliwa
Wapendwa tumesamehewa sie
Tumesamehewa
Hatuko chini ya laana tena
Nimesamehewa
Sasa tunaitwa wana wa Mungu aliye hai
Nimesamehewa
Aah tunaitwa wana
Nimesamehewa
Tumepatanishwa na baba
Nimesamehewa
Ooh tumesamehewa
Nimesamehewa
Nafurahia msamaha wake baba
Nimesamehewa
Aah siko chini ya laana tena
Nimesamehewa
Ooh nimesamehewa
Nimesamehewa
Wapendwa nimenunuliwa
Nimenunuliwa
Sasa ninaitwa mwana
Nimenunuliwa
Eeh tunaitwa wana wa Mungu
Nimenunuliwa
Eeh tumesamehewa
Nimesamehewa
Haleluya
Nimesamehewa
Asante Bwana
Nimesamehewa
Kwa msamaha wako
Nimesamehewa
Tumenunuliwa kwa bei ghali
Nayo ni damu ya Yesu Kristo
Imetupatanisha pamoja na Mungu wa mbinguni
Ambaye ni baba wa mataifa yote
Nimenunuliwa kwa damu ya bei ghali
Ni damu ya thamana, ya bwana Yesu
Sina wasiwasi, popote napo enda
Nimefichwa mimi, ndani ya damu yake
Nayo magonjwa
Magonjwa sio sehemu yangu
Laana na mikosi
Nayo mikosi, sio sehemu yangu
Kwa maana nimefichwa, ndani ya damu yake
Ooh kwa hiyo damu, nimepatanishwa
Na baba yangu, wa mbinguni
Kwa hiyo damu, nimehesabiwa haki
Ninaitwa mwana, wake Mungu
Tena ni murithi, pamoja naye
Kwa damu yako imetufanya tumesamehewa thambi
Kwa damu yako imetufanya tunaitwa wana
Kwa damu yako tumepatanishwa pamoja naye
Nakwambia nimesamehewa
Nimesamehewa
Kwa kweli nimesamehewa
Nimesamehewa
Oohh nimesamehewa kwa damu yake
Nimesamehewa
Mbona mnanihukumu mie
Nimesamehewa
Damu ya Yesu imenisamehe thambi
Nimesamehewa
Aah nimesamehewa mie
Nimesamehewa
Nakwambia nimenunuliwa kwa damu yake
Nimenunuliwa
Ahh nimenunuliwa kwa damu ya thamana
Nimenunuliwa
Ahh Nimenunuliwa
Nimenunuliwa
Wapendwa tumesamehewa sie
Tumesamehewa
Hatuko chini ya laana tena
Nimesamehewa
Sasa tunaitwa wana wa Mungu aliye hai
Nimesamehewa
Aah tunaitwa wana
Nimesamehewa
Tumepatanishwa na baba
Nimesamehewa
Ooh tumesamehewa
Nimesamehewa
Nafurahia msamaha wake baba
Nimesamehewa
Aah siko chini ya laana tena
Nimesamehewa
Ooh nimesamehewa
Nimesamehewa
Wapendwa nimenunuliwa
Nimenunuliwa
Sasa ninaitwa mwana
Nimenunuliwa
Eeh tunaitwa wana wa Mungu
Nimenunuliwa
Eeh tumesamehewa
Nimesamehewa
Haleluya
Nimesamehewa
Asante Bwana
Nimesamehewa
Kwa msamaha wako
Nimesamehewa
Переглядів: 9 835
Відео
Nimemchagua Yesu By Loice Dama
Переглядів 2,5 тис.Рік тому
Welcome to my Official UA-cam channel and Watch my song and subscribe ua-cam.com/video/5aExZslEiYM/v-deo.htmlsi=YdlA2xXXj39elUja
Nimesamehewa By Loice Dama
Переглядів 2 тис.Рік тому
Watch my song and subscribe,like,comment and share everywhere ua-cam.com/video/5aExZslEiYM/v-deo.htmlsi=YdlA2xXXj39elUja
HAKIKA BWANA (OFFICIAL VIDEO)BY LOICE DAMA
Переглядів 6 тис.Рік тому
HAKIKA BWANA (OFFICIAL VIDEO)BY LOICE DAMA
Nitayasimulia (official video)by Loice Dama
Переглядів 1,2 тис.Рік тому
Nitayasimulia (official video)by Loice Dama
Njoo Hapa (official video) by Loice Dama
Переглядів 513Рік тому
Njoo Hapa (official video) by Loice Dama
Unitangulie Bwana by Loice Dama,Skiza 5817848 Sent to 811
Переглядів 45 тис.3 роки тому
kindly watch,subscribe,like,comment and share #LoiceDama #GospelArtist
All My Songs Now Playing Nonstop By Loice Dama
Переглядів 15 тис.3 роки тому
Watching first then after watching Subscribe 🔔 like 👍 comment and share to your friends.#LoiceDama #GospelArtist #SongsTrending #AllSongs
Loice Dama - NZO ULOLE (Official Music Video) Skiza 5812573
Переглядів 318 тис.3 роки тому
kindly subscribe 🔔, like 👍 and comment #LoiceDama #VideoTrending #GospelArtist
Loice Dama - Nzo Ulole (Live Performance)
Переглядів 27 тис.3 роки тому
Loice Dama - Nzo Ulole (Live Performance)
NIOSHE KWA DAMU YAKO by LOICE DAMA -Skiza Code 7324537
Переглядів 7 тис.3 роки тому
NIOSHE KWA DAMU YAKO by LOICE DAMA -Skiza Code 7324537
NEEMA IMENIBEBA by LOICE DAMA .skiza codes:7324535.
Переглядів 208 тис.5 років тому
NEEMA IMENIBEBA by LOICE DAMA .skiza codes:7324535.
SITALIA by LOICE DAMA -Skiza Code 7324540
Переглядів 7 тис.5 років тому
SITALIA by LOICE DAMA -Skiza Code 7324540
NITAINGOJA- by LOICE DAMA -Skiza Code 7324538
Переглядів 9 тис.5 років тому
NITAINGOJA- by LOICE DAMA -Skiza Code 7324538
LAITI UNGEJUA by LOICE DAMA -Skiza Code 732454
Переглядів 2,7 тис.5 років тому
LAITI UNGEJUA by LOICE DAMA -Skiza Code 732454
HAKUNA MUNGU KAMA WEWE by LOICE DAMA-Skiza code 7324532
Переглядів 24 тис.5 років тому
HAKUNA MUNGU KAMA WEWE by LOICE DAMA-Skiza code 7324532
KUNA KITU KIME FANYIKA by LOICE DAMA skiza code 7324533
Переглядів 22 тис.5 років тому
KUNA KITU KIME FANYIKA by LOICE DAMA skiza code 7324533
Amina Amina
Exactly 💯 may good Lord bless you
Siubarikiwe sana weeeeeeeee kunapendeza sana waaau umeimba vizuri dadangu vinapendeza sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Amina,Amina naburundika sana dede uwe ubarikiwe sana ❤❤❤❤❤
Mungu azidi kukutumia ni kwa ajili ya utukufu wake
Amen baraka dadangu
Ameni ubarikiwe
Nilikujua enzi zile za newlife..
🎉🎉🎉
Neemaa ya bwana yesu imenibeba
Nzooni mulole vinafahiza kho kwa jeso
Be blessed my blood sister
❤❤❤ ❤ Amina Amina
Amen barikiwa sana dadangu
God bless you mamaaaa🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Wow! God bless you my sister
@@BentanoraChao Aamen 🙏
10.11.2024 23.02 Habakkuk 2:2 Nitangulie bwana natamani kufika
Hallelujah ❤❤❤❤ neema imetubeba sote🔥🔥🔥
@@zablonmwero5102 amen 🙏 glory be to God 🙏
❤❤❤
Good songs dada keepup
How do i use this song as my skiza tune
Skiza codes zake ziko hapo Kwa UA-cam
Amen nmebaeikiwa
Amen dear friend loice,Mungu azidi kukuinua, your songs are so blessing.
Mungu akubariki kwa kipawa alichokipa
Kwa kweli nibebwavna Neema ya Yesu barikiwa Sana dadaa
Kwa jeso kunafahiza..Ameen
God bless
Blessed music. ❤
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
AMEN GLORRY TO God❤
More Grace servant of God
Good music
Great ,keep going
Congratulations 🎉 Weka free download za nyimbo zako
@@sylvertoneakheda_japesa7446 sawasawa
❤🎉
Nice song be blessed
Wimbo safi xn keep it up loice be blessed
I love your songs mtumishi, the strength, the message waauu it's on another level. Hakika ni neema ya yesu tu for real
uko juu loice😂😂❤
𝐴𝑚𝑒𝑛𝑖 𝑏𝑎𝑟𝑖𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑚𝑎𝑚𝑖𝑖
Amen 🙏
more grace
Nimebarikiwa sana nawimbo huu wenye upako bwana akazidi kukupa kibali cha kuieneza injili mtumishi wamungu Talanta yako ikazidi kung,'aaa popote barikiwa sana
❤❤❤
Ubarikiwe sana
Kazi nzuri dada,
Great piece, indeed tumenunuliwa Kwa Bei ya thamani
Mulungu akubariki sana
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😘😘😘😘Nimesamehewa kwa damu ya thamani mm❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😘😘😘😘Nimesamehewa mm kwa damu ya thamani🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ameni
Ameni