Muhammad Khatwab
Muhammad Khatwab
  • 50
  • 13 954
CHUNGA UNAPOKEA KWA NANI ELIMU YAKO ! | Ustadh Muhammad Khatwab
CHUNGA UNAPOKEA KWA NANI ELIMU YAKO ! | Ustadh Muhammad Khatwab
Переглядів: 100

Відео

KUHISHIMU WEMA WALIOTANGULIA
Переглядів 586 місяців тому
Faida kutoka kwenye Muhadhara wa Masjid Bilal South C Nairobi
MAMBO MAWILI KATIKA KILA MIPANGILIO YA ALLAH
Переглядів 5711 місяців тому
MAMBO MAWILI KATIKA KILA MIPANGILIO YA ALLAH
Sheria za kiislamu kuhusu kazi, biashara na ajira
Переглядів 118Рік тому
Sheria za kiislamu kuhusu kazi, biashara na ajira
Soma kila baada swala ya faradhi
Переглядів 58Рік тому
Soma kila baada swala ya faradhi
Kuwa ulimwengu, Usiwe Mlimwengu
Переглядів 104Рік тому
Kuwa ulimwengu, Usiwe Mlimwengu
CARTOON ZENYE SUMU YA LGBTQ+
Переглядів 59Рік тому
CARTOON ZENYE SUMU YA LGBTQ
Moyo wako uko hali gani?
Переглядів 75Рік тому
Khutba ya ijumaa Masjid Nur Mombasa Kenya
FAIDA UTAKAZOPATA UKIMSWALIA MTUMI ﷺ
Переглядів 142Рік тому
FAIDA UTAKAZOPATA UKIMSWALIA MTUMI ﷺ
Imam Ahmad bin Hanbal atumia Hadith Munkar
Переглядів 3,5 тис.Рік тому
Imam Ahmad bin Hanbal atumia Hadith Munkar
Wakati maalum wa kujibiwa dua
Переглядів 90Рік тому
Wakati maalum wa kujibiwa dua
Usitukane waja wema
Переглядів 439Рік тому
Muhimu kuchunga ulimi unapotaja wanazuoni hata kama ni wa mrengo unaotafautiana nao
Bidii ya Alhabib Mwenyekarama katika elimu | Muhammad Khatwab
Переглядів 2363 роки тому
Video from m khatwab
Je waifanya sheria ifuate matamanio yako? - Muhammad khatwab
Переглядів 1513 роки тому
Je waifanya sheria ifuate matamanio yako? - Muhammad khatwab
Je katika Maulidi kuna shirki? (1) - Muhammad Khatwab
Переглядів 3754 роки тому
Je katika Maulidi kuna shirki? (1) - Muhammad Khatwab
Manaaqib za Sayyiduna Muawiyah bin Abi sufyan (2) - Muhammad Khatwab
Переглядів 684 роки тому
Manaaqib za Sayyiduna Muawiyah bin Abi sufyan (2) - Muhammad Khatwab
Manaqib za Sayyiduna Muawiyah bin Abi sufyan (1) - Muhammad Khatwab
Переглядів 1324 роки тому
Manaqib za Sayyiduna Muawiyah bin Abi sufyan (1) - Muhammad Khatwab
Adabu na Mtume | Ustadh Khatwab Khalifa
Переглядів 824 роки тому
Adabu na Mtume | Ustadh Khatwab Khalifa
Kumtaja Allah ndiyo lengo la ibada - Muhammad Khatwab
Переглядів 1374 роки тому
Kumtaja Allah ndiyo lengo la ibada - Muhammad Khatwab
قصيدة : أهوى السادات الصوفية | Qaswida #Indonesia
Переглядів 6834 роки тому
قصيدة : أهوى السادات الصوفية | Qaswida #Indonesia
Samai - يا جامع الشمل
Переглядів 1145 років тому
Samai - يا جامع الشمل
Maelezo kuhusu Aqidatul awaam course
Переглядів 1285 років тому
Maelezo kuhusu Aqidatul awaam course
Kufanya uloamrishwa - Muhammad Khatwab
Переглядів 565 років тому
Kufanya uloamrishwa - Muhammad Khatwab
Uharamu wa damu na mali za muislamu - Muhammad Khatwab
Переглядів 425 років тому
Uharamu wa damu na mali za muislamu - Muhammad Khatwab
Hadithi kuhusu Bid'a / Uzushi - Muhammad Khatwab
Переглядів 2075 років тому
Hadithi kuhusu Bid'a / Uzushi - Muhammad Khatwab
Kuumbwa Mwanadamu - Muhammad Khatwab & Muhammad Almukhtar
Переглядів 335 років тому
Kuumbwa Mwanadamu - Muhammad Khatwab & Muhammad Almukhtar
Baadhi ya Maelezo kuhusu ibada ya saumu - Muhammad Khatwab
Переглядів 135 років тому
Baadhi ya Maelezo kuhusu ibada ya saumu - Muhammad Khatwab
Zakaatul Maal na Zakaatul Fitri - Muhammad Khatwab
Переглядів 2505 років тому
Zakaatul Maal na Zakaatul Fitri - Muhammad Khatwab
Nguzo za dini - Muhammad Khatwab
Переглядів 375 років тому
Nguzo za dini - Muhammad Khatwab
Alama za Qiyama - Muhammad Khatwab
Переглядів 175 років тому
Alama za Qiyama - Muhammad Khatwab

КОМЕНТАРІ

  • @almuqadimtvhassanali.
    @almuqadimtvhassanali. 6 місяців тому

    jazzaaka sllah🎉

  • @hassanmussa2859
    @hassanmussa2859 6 місяців тому

    Ahsante ahsante Mashkura maajuraah

  • @maalimjumabinmuhammad6128
    @maalimjumabinmuhammad6128 11 місяців тому

    بارك الله فيك سيدي

  • @yasirshee3152
    @yasirshee3152 Рік тому

    Kijana alitambulika kama muimbaji Baada ya munaqasha amekubalika mpaka kutoa fatwa

  • @Muislamu
    @Muislamu Рік тому

    Nam ustadh ni kweli hayo maneno ni imam ahmad ..lakin sio maana ya dhaif kama ulivofahamu ww na wanavofahamu wengi wanaposoma maneno hayo... Napenda urudi katika majmuul fataawa ya ibn taumiyah na baadhi ya vitabu vya ibn qayyim wamebainisha makusudio ya dhaifu katika maneno ya imam ahmad..na wao ni wajuzi zaidi katika kufahamu usuulu madhhabil imam ahmad. Na ibn qayyim ametaja katika kitabu إعلام الموقعين .. Shukran ..

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder Рік тому

    Ma Sha Allah. Allah atubarikie katika kazi zetu na Atujaalie ni wenye kuhurumiana kati yetu.

  • @abushahir2556
    @abushahir2556 Рік тому

    Mashallah. Jazaakallahu kheir syid.

  • @saidsobongo912
    @saidsobongo912 Рік тому

    Bila shaka lugha ya kiarabu unaijua tadhi zoote zina shereheshwa na wana zuoni tupe hatithi moja ..inayohusu mawlid kisha tupe sherehe ya mwanachuoni mmoja ambae amesherehesha hadithi hyo..ahsantee

  • @alwialbeity4566
    @alwialbeity4566 Рік тому

    Hujasoma hadith na sanad sijui hata hadith gani unasema imam Ahmad ametumia kwa hukm itaje sanad na raqm ya kitabu imam Ahmad aliitumia toa ufafanuzi vizuri ndio ufundishwe ins Allah nasikia munkar munkar lakini sanad sikusikia?

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab Рік тому

      Wewe umehifadhi sanad ngapi? Hata hio nikikutajia utaijua?

    • @saidsobongo912
      @saidsobongo912 Рік тому

      ​@@muhammadkhatwabwe taja wacha makasrko we sishekhe taja ndio uoneshwe kua hujui

  • @ummumahsen1473
    @ummumahsen1473 Рік тому

    اللهم صل على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه اجمعين

  • @saidnsakina5129
    @saidnsakina5129 Рік тому

    Yaa Salaaammm

  • @bellahragazza
    @bellahragazza Рік тому

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم اجمعين💥❤

  • @abumaryam6909
    @abumaryam6909 Рік тому

    Sheikh huyo uliyo mtaja ni imam anayejulikana kwenye fani ya hadith.. akiitumia yeye Allah Amrehemu tafauti na mimi na wewe.. ukisema tu Ahmad bin hambal nani ktk waislamu wasio mjua??? Na Ahmad bin hambal ni mkoseaji kama wakoseaji wengine kama ni makosa ni wajibu kutofatwa ktk batil kama sheria yatutaka tusimfuate.

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi Рік тому

      Kwa hiyo tukufate wewe??? Wewe ni nani katika uislam???

    • @abumaryam6909
      @abumaryam6909 Рік тому

      @@shilingi-Ahmadi sijasema unifuate

  • @nasoros.mgungo5502
    @nasoros.mgungo5502 Рік тому

    Bachu na Mawahabi kesho wataja tuambia nae Huyo Ni Muongo na vitabu vyake Ni vya Uongo. Eheeee! Tunusuru na Uwahabi.

    • @AbdulrazakShebe
      @AbdulrazakShebe Рік тому

      Sasa huyu hayuko ata kwa 3rd eleven.. Yuko academy ya youth team..

    • @9119-r4t
      @9119-r4t Рік тому

      Badilisha jina mgungo majina yakikafiri

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Worldunite
    @Worldunite Рік тому

    Lete WALI MWEUPEEEE

  • @isihakamgeta5433
    @isihakamgeta5433 Рік тому

    Tupe hadith japo munkar yajuzisha maulid 😅

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab Рік тому

      Tupe hadith japo munkar yakataza maulid

    • @bukhari6517
      @bukhari6517 Рік тому

      Nakubali ... Tit for tat .. waambie wakasome kazi kujisemea tu hawataki kusoma kujua haki . Kazi kupinga tu ndo waona ni ilimu na fakhri hawajui wanazuoni wamesemaje yameanzaje tarekhe yake ni ipi ??? Watasoma mara hii.....

    • @abumuadmahatmohamed
      @abumuadmahatmohamed Рік тому

      @@muhammadkhatwab ndio mtihani tuko nao huu watu wakutafuna marungi wataka hadith na aya za quran iliyokataza marungi. makafiri wanataka tuwaonyeshe katika bibilia ni wapi walikatazwa kumwita Yesu mwana wa MUNGU

    • @saidsobongo912
      @saidsobongo912 Рік тому

      ​@@muhammadkhatwabmtume alikua akataza kitu mpka kipatikane au itokee sababu kwahvo ili tupate hadithi ya kupinga mawlid kwanza lazima mawlidi yapatikane wakatwa mtume kisha mtume akataze kwa hadithi naikiwa hadithi ya kupinga mawlid hakuna bac mtume hayajui kwa hvo wewe tuambie mazazi ya mtume umeyanukuu kwa mana zuon gani ..lete hatithi moja tu Au aya moja tu ambayo inahusu mazazi ya mtu kila sherehe katka uwisim imetaja katika hadith na Wahyi sasa kuvunja hoja usiseme wewe kwa ufahamu wako ...tuletee katka maimamu shafii ..hanbal hanifa maliki au mwanachuo yyte ..usilete tofauti au lete hadithi yoyote imma mawdhui au munkar ..halafu tuione kua niufahamu wako au wanachuoni ndio wamefahamu kua hadithi hyo inasema kua inahusu mazazi ya mtume...nakusubiri hapa usipo tuma hadithi hyo hapa bac wewe nimuongo mche allah

  • @HawaOmary-fb6wo
    @HawaOmary-fb6wo Рік тому

    MANENO MAZURI,HAPINGI ISIPOKUWA JAHILI,MUSABAKA WA QURAN UNA HADITHI SAHIHI ATOKEZE JAHILI YEYOTE ATUONYESHE.

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw Рік тому

    Bachu yote hao hayajui. Ona Watoto wadogo kabisa wanadadavu😂😂😂

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw Рік тому

    Wenye elimu zao😂😂😂

  • @HalimaHaruna-yv6nr
    @HalimaHaruna-yv6nr Рік тому

    Mualidi ni ya Mashia, uzushi wachaneni nao, musilazimishe jamboo na hmna dalil

    • @abubakarramadhan1716
      @abubakarramadhan1716 Рік тому

      Hukuambiwa usome wewe km hujui kuyasoma waache wajuao wasome zenu nihasadi tuuuiuuuu mutakufa lkn maulidi hayafi

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 Рік тому

      ​@@abubakarramadhan1716Majazi + Munkar =Uzushi wa maulidi

    • @Worldunite
      @Worldunite Рік тому

      Wewe km ulikosa kula pilau siku ya maulidi usitafute wachawi, sijui mashia,sijui masufi,sijui watu wa tariqa, KASOME WEWE ULIYEKOSA PILAU YA MAULIDI, MAULIDI MUHIMU MAULIDI MUHIMU MAULIDI MUHIMU sie maulidi km kawa hatuendekezi bidaa

    • @binaamour318
      @binaamour318 Рік тому

      Ushabik t maskin Hawa et Majaz n munkar haha tuambie w abubakar ndio ume comment nn fafanua bac Kama unawza!

    • @bukhari6517
      @bukhari6517 Рік тому

      Eti wamenzisha mashia wewe.. kuna hadithi yasema kama kitu kimeanzishwa na Fulani musifuate musiendeleze ??? Jibu hili swali? Kufunga aashuraa ilianzishwa na kina nani ??? Mbona waislamu wafunga??? ... Fungukeni akili muelewe someni jamani muone haki

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs Рік тому

    Nyinyi mshapata cha kusema japo Mlikalilishwa

    • @abubakarramadhan1716
      @abubakarramadhan1716 Рік тому

      Wajua wakulilishwa wewe mwenyewe hujui kutamka R wasemesha watu

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 Рік тому

      ​@@abubakarramadhan1716mwambie atulie hyo msemaji kama kwamba hajiamini

    • @binaamour318
      @binaamour318 Рік тому

      Ongea hoja y kielimu acha ushabik!

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 Рік тому

      @@binaamour318 maulidi kila mmoja anaongea yake hebu twambie labda wajua maulidi haswaa ilianza lini nani mwanzilishi au waanzilishi?na yalianza wapi?

  • @ABUUDARDAAI
    @ABUUDARDAAI Рік тому

    wana wazuoni wamekataza kutumia adithi dhaif

    • @abubakarramadhan1716
      @abubakarramadhan1716 Рік тому

      Km yupi aliekataa

    • @bukhari6517
      @bukhari6517 Рік тому

      Na huyo anayetajwa hapo si mwanazuoni Tena yuwatumia hadith mukar haswaa hamuelewi.. someni jamani acheni kujisemea tu . Sikiza kijana huyo akueleweshe

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому

    HII NDIO ILIKUA MADA SASA BADALA MNGEJADILI HILI WE UMEKALIA UBISHI TU SASA KAONDOKA NDO UNATOA MAJIBU NDO NINI SASA⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️✍🏼✍🏼UMETUKOSESHA FAIDA KTK HILI UMESIKITISHA SASA HAPA WAONGEA PEKEAKO SISI HATUJAFAIDIK UNAMUULIZA NANI ALIKWAMBIA TUJADILI HILI NA SIO MTU WE HUTAKI UNATAKA MTU NA SIO HADITHI

  • @techygirlkenya
    @techygirlkenya Рік тому

    Mkubali Yesu kama Mwokozi wa maisha yako.Mungu haridhishwi na itikadi za kidini.Anapendezwa na ukweli wa moyo, utafute uso wa Mola kwa roho na kweli. Seek God's face in worship as opposed to seeking His giving hand, God has way more in store than things of this world.

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab Рік тому

      Waislamu tunampenda na kumuamini yesu, muislamu hawi muislamu kama hamuamini yesu Bali kama ukristo ni kumfuata Yesu, basi sisi waislamu ni wakristo zaidi kuliko wanaojiita wakristo

  • @NammanaMobile
    @NammanaMobile Рік тому

    Hakuna wakati maalumu wa kukubali wa dua bali kuna wakati maalumu wa Mungu kuwasikiliza Waja wake.... Hii haina maana yakuwa Mungu atakujibu au atakukubalia ila ni kwa mapenzi yake.... Tusipotoshane na kuyaingilia mamlaka ya Mungu hii ni shirki na kutafuta viwers ili wapate pesa bila kujua kuwa mnajiingiza kwenye mtihani Tusome jaman Mungu huwa hakadiliwi Hakuna muda maalumu wa Mungu kukubali maombi... Ila kuna muda maluum ya Mungu kusikiliza maombi na ana nan nan mwenye shida Lakn haina maana ya kuwa unatekelezewa moja kwa moja iyo ni radhi yake na umpa amtakaye Na tuzidishe maombi

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab Рік тому

      Hayo ni maoni yako binafsi, mimi nimetaja maoni ya wanazuoni viongozi waliotupokelea dini Sasa tukufuate wewe ama wao?

    • @NammanaMobile
      @NammanaMobile Рік тому

      @@muhammadkhatwab kuna kitabu chochote cha wana zuoni ambacho kuna aya ya Mwenyezi Mungu inayosibitisha kuwa kitabu hiko hakina shaka... Elimu sahihi ni ile inayoendana na kauli za Allah.. Mtu kuwa na cheo kikubwa haina maana kila anacho ongea ni sahihi Mtume wa Allah amefundisha kutofautisha sahihi na kitu kisicho sahihi.. Tofauti na apo ni ku ingilia mamlaka ya Allah Hakuna muda sahihi wa Mungu kujibu maombi... Ila kuna muda sahihi Mungu anakuwa karibu na Waja wake kusikiliza waombacho.. Pia haina maana kuwa akisikikiza anajibu... Yeye ndio muamuz ndomana... Anasema tuombeni toba ya kweli wenda mwenyewezi Mungu akatusamehe au kukubaliwa toba yetu... Katumia neno wenda... Maana yake yeye ndio muamuz kutokana na jitihada yako na wala si kujifanya unajua kuomba

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab Рік тому

      @@NammanaMobile na je kuna dalili yoyote kuwa mtazamo wako ni wa sawa huwezi kuwa umekosea?

  • @MajMaulAhbaab
    @MajMaulAhbaab Рік тому

    Masikitiko makubwa😢 Allah atuhifadhi na atuongoze🤲

  • @fahadfuad9248
    @fahadfuad9248 Рік тому

    ما شاء الله

  • @tmffj
    @tmffj 2 роки тому

    Sahih Bukhari Hadith No. 4827 Narrated Yusuf bin Mahak: Marwan had been appointed as the governor of Hijaz by Muawiya. He delivered a sermon and mentioned Yazid bin Muawiya so that the people might take the oath of allegiance to him as the successor of his father (Muawiya). Then `Abdur Rahman bin Abu Bakr told him something whereupon Marwan ordered that he be arrested. But `Abdur-Rahman entered `Aisha's house and they could not arrest him. Marwan said, It is he (`AbdurRahman) about whom Allah revealed this Verse:-- 'And the one who says to his parents: 'Fie on you! Do you hold out the promise to me..?' On that, `Aisha said from behind a screen, Allah did not reveal anything from the Qur'an about us except what was connected with the declaration of my innocence (of the slander). Marwan governor of mawiyah tried to tyrantly arrest son of 1st caliph of Islam abu baker (ra) just from freedom of speech cuz after khilafat ended in time of mawiyah it was no freedom of speech...so his sister& Daughter of Abu baker (ra) & our mother beloved wife of beloved (pbuh) ammi ayesha (ra) protected her brother cuz he run inside her home for that he put buhtan azeem big lie on him still so our mother Ayesha (ra) defended him again

  • @AbdulmutwalibSaggaf
    @AbdulmutwalibSaggaf 2 роки тому

    Swadaqta Habib

  • @fatimamuhammad8351
    @fatimamuhammad8351 2 роки тому

    ماشاء الله

  • @muhammadali-se2id
    @muhammadali-se2id 2 роки тому

    baraka allahu fik

  • @sihamsaid9713
    @sihamsaid9713 2 роки тому

    Mashaallah allah ibaarik

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 2 роки тому

    Amiiin yaa Raabb

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 2 роки тому

    Allah awahifadhi

  • @abdulrahmanabualama3099
    @abdulrahmanabualama3099 3 роки тому

    MashaAllah tabaarakallah Shukran sana Sayyidy Maneno mazuri

  • @SaidAli-rb2tp
    @SaidAli-rb2tp 3 роки тому

    Shukran habib

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 3 роки тому

    JAZAKA ALLAHU KHEIRAN.

  • @tatuomary6745
    @tatuomary6745 4 роки тому

    MashaALLAH

  • @lalybadi5397
    @lalybadi5397 4 роки тому

    Shukrn ustdh Mohammed nataraji kwa naswaha yako mzuri alompatia atajitahidi kwatwalii kabla y kupanda minbari n kululuma Allah akuhifadhi Akupe umri mrefu wa twaa akuzidishie ilimu uweze kufaidisha wengine

  • @mohammadsalim9498
    @mohammadsalim9498 4 роки тому

    Audio ina shida habib

  • @ahmadbadawyTv
    @ahmadbadawyTv 4 роки тому

    Shukran Syd

    • @tmffj
      @tmffj 2 роки тому

      eating was more important to mawiyah bin sufiyan rather than obey Allah Messenger pbuh Sahih Muslim 6628 Ibn Abbas reported: I was playing with children that Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) happened to pass by (us). I hid myself behind the door. He (the Prophet) came and patted my shoulders and said: Go and call Mu'awiya. I returned and said: He is busy in taking food. He again asked me to go and call Mu'awiya to him. I went (and came back) and said that he was busy in taking food, whereupon he said: May Allah not fill his belly! Ibn Muthanna, said: I asked Umm Umayya what he meant by the word Hatani. He said: It means he patted my shoulders.

    • @tmffj
      @tmffj 2 роки тому

      1st Shia Rafdi in Muslim ummat Mawiyah bin sufiyan who abused khalifa Rashid Maula Ali (as) in religious & political gatherings Sahih Muslim 6220 Amir b. Sa'd b. Abi Waqqas reported on the authority of his father that Muawiya b. Abi Sufyan appointed Sa'd as the Governor and said: What prevents you from abusing Abu Turab (Hadrat 'Ali), whereupon be said: It is because of three things which I remember Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) having said about him that I would not abuse him and even if I find one of those three things for me, it would be more dear to me than the red camels. I heard Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) say about 'Ali as he left him behind in one of his campaigns (that was Tabuk). 'Ali said to him: Allah's Messenger, you leave me behind along with women and children. Thereupon Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) said to him: Aren't you satisfied with being unto me what Aaron was unto Moses but with this exception that there is no prophethood after me. And I (also) heard him say on the Day of Khaibar: I would certainly give this standard to a person who loves Allah and his Messenger, and Allah and his Messenger love him too. He (the narrator) said: We had been anxiously waiting for it, when he (the Holy Prophet) said: Call 'Ali. He was called and his eyes were inflamed. He applied saliva to his eyes and handed over the standard to him, and Allah gave him victory. (The third occasion is this) when the (following) verse was revealed: Let us summon our children and your children. Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) called 'Ali, Fatima, Hasan and Husain and said: O Allah, they are my family.

    • @tmffj
      @tmffj 2 роки тому

      Lanati Governor Marwan bin Hakkam of Munafiq Mawiyah bin sufiyan announced sunnat is expired of Allah Marwan pbuh no more sunnat of Allah Messenger pbuh Sahih al-Bukhari 956 Narrated Abu Sa`id Al-Khudri: The Prophet (ﷺ) used to proceed to the Musalla on the days of Id-ul-Fitr and Id-ul-Adha; the first thing to begin with was the prayer and after that he would stand in front of the people and the people would keep sitting in their rows. Then he would preach to them, advise them and give them orders, (i.e. Khutba). And after that if he wished to send an army for an expedition, he would do so; or if he wanted to give and order, he would do so, and then depart. The people followed this tradition till I went out with Marwan, the Governor of Medina, for the prayer of Id-ul-Adha or Id-ul-Fitr. When we reached the Musalla, there was a pulpit made by Kathir bin As-Salt. Marwan wanted to get up on that pulpit before the prayer. I got hold of his clothes but he pulled them and ascended the pulpit and delivered the Khutba before the prayer. I said to him, "By Allah, you have changed (the Prophet's tradition)." He replied, "O Abu Sa`id! Gone is that which you know." I said, "By Allah! What I know is better than what I do not know." Marwan said, "People do not sit to listen to our Khutba after the prayer, so I delivered the Khutba before the prayer." marwan the Governor of mawiyah was giving eid khutba b4 the prayers against the sunnat of beloved prophet(pbuh) even 1 of the companions(ra) tried to stopped him but he didn't listen & did it anyway & this truth been hide from ummat what was the reasons behind Karbla

    • @tmffj
      @tmffj 2 роки тому

      Sahih Bukhari Hadith No. 4827 Narrated Yusuf bin Mahak: Marwan had been appointed as the governor of Hijaz by Muawiya. He delivered a sermon and mentioned Yazid bin Muawiya so that the people might take the oath of allegiance to him as the successor of his father (Muawiya). Then `Abdur Rahman bin Abu Bakr told him something whereupon Marwan ordered that he be arrested. But `Abdur-Rahman entered `Aisha's house and they could not arrest him. Marwan said, It is he (`AbdurRahman) about whom Allah revealed this Verse:-- 'And the one who says to his parents: 'Fie on you! Do you hold out the promise to me..?' On that, `Aisha said from behind a screen, Allah did not reveal anything from the Qur'an about us except what was connected with the declaration of my innocence (of the slander). Marwan governor of mawiyah tried to tyrantly arrest son of 1st caliph of Islam abu baker (ra) just from freedom of speech cuz after khilafat ended in time of mawiyah it was no freedom of speech...so his sister& Daughter of Abu baker (ra) & our mother beloved wife of beloved (pbuh) ammi ayesha (ra) protected her brother cuz he run inside her home for that he put buhtan azeem big lie on him still so our mother Ayesha (ra) defended him again

  • @Rabbihdini
    @Rabbihdini 4 роки тому

    ماشاء الله نفعنا الله بعلومكم وجعل ما تقدمونه في ميزان حسناتكم آمين يارب

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 4 роки тому

      آمين يارب العالمين شكرا حبيب

    • @tmffj
      @tmffj 2 роки тому

      eating was more important to mawiyah bin sufiyan rather than obey Allah Messenger pbuh Sahih Muslim 6628 Ibn Abbas reported: I was playing with children that Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) happened to pass by (us). I hid myself behind the door. He (the Prophet) came and patted my shoulders and said: Go and call Mu'awiya. I returned and said: He is busy in taking food. He again asked me to go and call Mu'awiya to him. I went (and came back) and said that he was busy in taking food, whereupon he said: May Allah not fill his belly! Ibn Muthanna, said: I asked Umm Umayya what he meant by the word Hatani. He said: It means he patted my shoulders.

    • @tmffj
      @tmffj 2 роки тому

      @@muhammadkhatwab eating was more important to mawiyah bin sufiyan rather than obey Allah Messenger pbuh Sahih Muslim 6628 Ibn Abbas reported: I was playing with children that Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) happened to pass by (us). I hid myself behind the door. He (the Prophet) came and patted my shoulders and said: Go and call Mu'awiya. I returned and said: He is busy in taking food. He again asked me to go and call Mu'awiya to him. I went (and came back) and said that he was busy in taking food, whereupon he said: May Allah not fill his belly! Ibn Muthanna, said: I asked Umm Umayya what he meant by the word Hatani. He said: It means he patted my shoulders.

    • @tmffj
      @tmffj 2 роки тому

      1st Shia Rafdi in Muslim ummat Mawiyah bin sufiyan who abused khalifa Rashid Maula Ali (as) in religious & political gatherings Sahih Muslim 6220 Amir b. Sa'd b. Abi Waqqas reported on the authority of his father that Muawiya b. Abi Sufyan appointed Sa'd as the Governor and said: What prevents you from abusing Abu Turab (Hadrat 'Ali), whereupon be said: It is because of three things which I remember Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) having said about him that I would not abuse him and even if I find one of those three things for me, it would be more dear to me than the red camels. I heard Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) say about 'Ali as he left him behind in one of his campaigns (that was Tabuk). 'Ali said to him: Allah's Messenger, you leave me behind along with women and children. Thereupon Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) said to him: Aren't you satisfied with being unto me what Aaron was unto Moses but with this exception that there is no prophethood after me. And I (also) heard him say on the Day of Khaibar: I would certainly give this standard to a person who loves Allah and his Messenger, and Allah and his Messenger love him too. He (the narrator) said: We had been anxiously waiting for it, when he (the Holy Prophet) said: Call 'Ali. He was called and his eyes were inflamed. He applied saliva to his eyes and handed over the standard to him, and Allah gave him victory. (The third occasion is this) when the (following) verse was revealed: Let us summon our children and your children. Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) called 'Ali, Fatima, Hasan and Husain and said: O Allah, they are my family.

    • @tmffj
      @tmffj 2 роки тому

      @@muhammadkhatwab eating was more important to mawiyah bin sufiyan rather than obey Allah Messenger pbuh Sahih Muslim 6628 Ibn Abbas reported: I was playing with children that Allah's Messenger ( ‌صلی ‌اللہ ‌علیہ ‌وسلم ‌ ) happened to pass by (us). I hid myself behind the door. He (the Prophet) came and patted my shoulders and said: Go and call Mu'awiya. I returned and said: He is busy in taking food. He again asked me to go and call Mu'awiya to him. I went (and came back) and said that he was busy in taking food, whereupon he said: May Allah not fill his belly! Ibn Muthanna, said: I asked Umm Umayya what he meant by the word Hatani. He said: It means he patted my shoulders.

  • @mohammadsalim9498
    @mohammadsalim9498 4 роки тому

    بارك الله فيك

  • @Rabbihdini
    @Rabbihdini 4 роки тому

    allah yubaaarik fi juhuuudikum sidi muhammad khatwab

  • @mohammadsalim9498
    @mohammadsalim9498 5 років тому

    MashaAllah, Allah amrehemu.

  • @hamduniabdi9711
    @hamduniabdi9711 5 років тому

    بارك الله فيك سيدى

  • @mohammadsalim9498
    @mohammadsalim9498 5 років тому

    JazaakaAllah Kheir

  • @muhammadkhatwab
    @muhammadkhatwab 5 років тому

    (ثُمَّ خَلَقۡنَا ٱلنُّطۡفَةَ عَلَقَةࣰ فَخَلَقۡنَا ٱلۡعَلَقَةَ مُضۡغَةࣰ فَخَلَقۡنَا ٱلۡمُضۡغَةَ عِظَـٰمࣰا فَكَسَوۡنَا ٱلۡعِظَـٰمَ لَحۡمࣰا ثُمَّ أَنشَأۡنَـٰهُ خَلۡقًا ءَاخَرَۚ فَتَبَارَكَ ٱللَّهُ أَحۡسَنُ ٱلۡخَـٰلِقِینَ) [Surat Al-Mu'minun 14]

  • @muhammadkhatwab
    @muhammadkhatwab 5 років тому

    (وَإِذۡ أَخَذَ رَبُّكَ مِنۢ بَنِیۤ ءَادَمَ مِن ظُهُورِهِمۡ ذُرِّیَّتَهُمۡ وَأَشۡهَدَهُمۡ عَلَىٰۤ أَنفُسِهِمۡ أَلَسۡتُ بِرَبِّكُمۡۖ قَالُوا۟ بَلَىٰ شَهِدۡنَاۤۚ أَن تَقُولُوا۟ یَوۡمَ ٱلۡقِیَـٰمَةِ إِنَّا كُنَّا عَنۡ هَـٰذَا غَـٰفِلِینَ) [Surat Al-A'raf 172]