EZU MEDIA
EZU MEDIA
  • 20
  • 3 245

Відео

AFYA KWANZA: Haya ndiyo madhara ya ulaji holela
Переглядів 827 годин тому
kipindi hiki kitakupa fursa ya madhara ya ulaji holela na madhara ya uzito uliopitiliza unaosababishwa na ulaji holela. #africa #health #nature
KIJANI NA MAISHA: Tazama mama mjane alivyoweza kujikwamua kimaisha kupitia bustani
Переглядів 769 годин тому
kipindi hiki kinakupa fursa ya kujifunza ni kwa namna gani unaweza kupata fursa za kiuchumi kupitia bustani #africa #trending #nature #green
POSITIVE VIBE: Exclusive KDEE kuwashukuru mashabiki kwa kuupaisha muziki wake
Переглядів 12816 годин тому
mahojiano haya yatakupa fursa za kumjua msanii wa Bongo Flavor KDEE na Management yake na namna wanavyofanya kazi kwa sasa #art #music #trending
AFYA KWANZA: UJUE UGONJWA WA UTAPIA MLO
Переглядів 77День тому
kipindi hiki kitakupa fursa ya kuujua ugonjwa wa utapia mlo kuanzia dalili zake. athali zake na namna ya kukabiliana nao #africa #health
POSITIVE VIBE: MJUE ELVIC NA UJIO WA WIMBO WAKE WA "Our Story"
Переглядів 76День тому
Documentary hii itakufanya umjue kwa undani zaidi msanii Elvic Kongolo, malengo yake kwenye muziki, asili yake na ujio wa wimbo wake mpya wa "Our Story"
SPORTS CORNER:TAZAMA JINSI TAWI LA CCM VODA LILIVYOSHINDA MBUZI BARIADI KATIKA LIGI YA KATA
Переглядів 4414 днів тому
video hii inakupa taarifa juu ya namna mashindano ya Kata ya Malambo Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu yalivyoandaliwa na changamoto walizo pitia viongozi wa UVCCM kata hiyo katika uandaaji wake
POSITIVE VIBE: Exclusive Black Dany kuja na EP mwaka huu
Переглядів 23414 днів тому
interview hii inamuhusu msanii chipukizi wa muziki wa bongo flavor namna alivyojipanga mwaka 2025 na maisha yake kwa ujumla #art #africa #trending #music
Positive Vibe: Exclusive Mc Recho afunguka kuelekea Special Valentine Season Five.
Переглядів 10814 днів тому
Special Valentine Season Five, mwaka huu itaanza kwa kutembelea wahitaji na baadae jioni kutakuwa na sherehe ya kupongezana kwa wapendanao na kumshukuru MUNGU.
EXCLUSIVE: Mama zuu, muigizzaji aliye igeukia sanaa ya muziki
Переглядів 13214 днів тому
Positive Vibe ya leo utajua mengi kuhusu changamoto za wasanii hasa waigizaji na kwanini wengi wao hawafiki mbali #africa #art #bongo #movie #music
EXCLUSIVE: Wasanii wa Mkoa wa Simiyu katika uzinduzi wa Filamu ya Hujafa Hujaumbika
Переглядів 18121 день тому
tazama wasanii wa Mkoa wa Simiyu wakifunguka malengo yao katika sanaa mwaka 2025 #trending #art #africa
PAGT KIDINDA yasaidia wanafunzi Bariadi
Переглядів 1216 місяців тому
Kanisa la PAGT KIDINDA lililopo wilaya ya Bariadi Mkoani simiyu linaloongozwa na mchungaji Justine Daniel, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali limefanikiwa kutoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule ya secondary IGAGANULWA iliyopo Dutwa Bariadi vijijini. Katika mweendelezo wa kampeni yake ili kuhakikisha kunakuwa na hedhi salama kwa wanafunzi.
UKISHUKA BWANA official video by Queenma ftt Luka Isaya. produced by euu studio
Переглядів 1386 місяців тому
mtumainie MUNGU kwa kila kitu. yeye akishukahakuna linaloshindikana
We Gospel - Tunakushukuru.
Переглядів 4132 роки тому
we Gospel ni team ambayo imeàmua kuitangaza injíli kwa njia ya uimbaji na kwanza wanaanza na wimbo wa Shukran kwa Bwana kwa nafasi hyo ya pekee aliyoitoa.
NANI MWIZI EPSODE 01
Переглядів 1602 роки тому
NANI MWIZI EPSODE 01
Shania Twain_You're still the one_Cover by Oprah G
Переглядів 1042 роки тому
Shania Twain_You're still the one_Cover by Oprah G
Glorious Voice - Watesi
Переглядів 5532 роки тому
Glorious Voice - Watesi
Wedding Advert by Ezuu Studios
Переглядів 1062 роки тому
Wedding Advert by Ezuu Studios
Nani Kama Mama Cover By Scovia
Переглядів 3602 роки тому
Nani Kama Mama Cover By Scovia

КОМЕНТАРІ