- 13
- 1 852
SIMON KIBOY
Приєднався 28 бер 2022
Shalom hii ni you tube channel yangu. Karibu u view, u subscribe, u like, u comment na kushare kwa utukufu wa MUNGU wetu. Kwa watakaorikiwa na huduma yangu wakataka kunisupport itakuwa baraka zaidi. Namba zangu ni Halotel 0621231553 na Tigo ni 0717236599 zote jina ni SIMON KIBOI. Ubarikiwe sana.
Shalom this is my you tube channel. You are welcome to view, subscribe videos, like, comment and to share for the glory of our LORD GOD. For those who will be blessed by the ministry and if they would like to support it will be so blessiful. My phone numbers are Halotel 0621231553 and Tigo 0717236599. Be blessed.
Shalom this is my you tube channel. You are welcome to view, subscribe videos, like, comment and to share for the glory of our LORD GOD. For those who will be blessed by the ministry and if they would like to support it will be so blessiful. My phone numbers are Halotel 0621231553 and Tigo 0717236599. Be blessed.
Відео
Simon Paul Kiboy~Nimetengeneza(Official audio)
Переглядів 272 місяці тому
Simon Paul Kiboy~Nimetengeneza(Official audio)
Simon Kiboy - Surprise_-_(Official music Audio).
Переглядів 99Рік тому
BWANA akufanyie SURPRISE katika mambo yote uliyoona hayawezekaniki in JESUS mighty name. Amen.
Simon Kiboy- Awesome GOD (official music Audio).
Переглядів 150Рік тому
Our GOD is Awesome and unchangeable! He was there, He is there and He shall be there forever. Nampenda sana BWANA YESU yeye ni yote katika yote, ndani ya yote na juu ya yote kwetu hapa duniani na hata miisho ya dunia hatuachi! Enjoy the song! for any support privately 255717236599 and 255 621 231 553 SIMON PAUL KIBOI
Simon Paul - Tanzania (Official Music Audio.)
Переглядів 321Рік тому
Tanzania ni wimbo nilioandika na kuurecord uwe zawadi ya kulisifia na kulitangaza Taifa langu teule la Tanzania kwa uzuri na utajiri MUNGU aliolipatia. Inanipasa kujivunia kuwa mtanzania inakupasa kujivunia utanzania wako. support huduma yangu kwa namba 0621231553 au 0717236599 SIMON PAUL KIBOI. Mbarikiwe and just enjoy the song! 🙏
Simon Paul - Hautoniacha mpweke (Official music Video.)
Переглядів 1402 роки тому
God will make a sweet loughter for you. 🙌🙌🌹
Simon Paul - Nitabaki na MUNGU -(official music Audio)
Переглядів 2912 роки тому
Nitabaki na MUNGU ni wimbo ambao BWANA alinipa mafunuo yake wakati nilipokuwa katika kipindi kigumu kidogo cha maisha, kunamahali nilitaka kukata tamaa ya wokovu ndipo nilipopata mafunuo kuwa MUNGU ana kila kitu nikibaki naye. Nakushauri baki na BABA haijalishi unapitia wapi, baki na MUNGU maana kwake utapata utulivu na kila kitu sahihi utachohitaji. MUNGU akubariki sana.
MUNGU abariki kazi yako
Ubarikiwe sana
Ubarikiwe kazi ya kubwa sana bro .🙏
Wow. Mungu akufanikishe mtumishi wa Mungu ili uweze kuufikisha ujumbe wake huu mbali zaidi na kwa watu wengi zaidi. Ubarikiwe sana nyimbo inafanyika baraka kila siku.
Amen mtumish wa MUNGU!!
Nimebarikiwa sana na kibaki na MUNGU Roho mtakatifu Amemtumia mtumishi wake SIMON PAUL KIBOI
Ubarikiwe kipenz changu
Blessed my dear
Amen🙏🙏
MUNGU awe nawe kaka katika huduma yako
Amina kakangu
Good song
Amen..
Wimbo mzuri sana huu, Barikiwa
Amina kaka
Be blessed my brother
Amen brother!
Very powerfull song
my Reedemer barikiwa sana mtumishi wa BABA
Nakuona mbali sana Simon paul kiboi wewe ni mshindi tena ni mrithi
MUNGU akuinue Kaka Paul
Amen my dad and my son
AMEN MAY GOD KEEP USING YOU MY FRIEND🙏🙏BE BLESSED MUCH
Amen🙏🙏
Kaka, Mungu akuinulie watu sahihi watakaosimama na wewe katika huduma hii kubwa na nzuri uliyopewa na Jehovah, mtumaini Mungu atakupeleka viwango usivyodhani. Nyenyekea sana kaka.
Amina kakangu
Mungu akuinue kaka Simon, unatufariji sana kwa huduma hii Mungu aliyokupa, only thing to not is to be humble before Jehovah. 3Pet 5:6
Ni jambo kuaminiwa tena ni kweli, Daudi akasema ni heri niwe bawabu kwenye nyumba ya BWANA. Tubaki na MUNGU.
Mungu akuinue juu mdogo wangu, nyimbo zako zinanibariki mno. Jesus lift you up!!!!
Wewe ni wa juu sana mtumishi SIMON PAUL KIBOI
Amina kipenz changu
MUNGU wa mbinguni azidi kukuinua kila siku SIMON akufanikishe katika kila hatua unayopiga kwa ajili ya utukufu wa MUNGU🙏🥰
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera uncle barikiwa kazi nzuri
Amen aunt
Keep it up bro🤗
Blessed
Well#
Ameen barikiwa Sana Sana sana
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana
God bless you the man of God
Yes Lord your Awesome God ! Amen Amen 🙏 ubarikiwe mtumishi wa Mungu .
Sure sister our GOD is awesome
Hongera Sana kijana wa Yesu Mungu akuinue zaidi na zaidi nabarikiwa Sana mtumishi wa Mungu.
Amen amen Asante kwa mbaraka huo zidi kubarikiwa!
Waooooo.......grt song....
@@deusdeditalex3657 Thanks so much
Hongera rafiki nikupendae
Asante rafiki
Nice song
barikiwa kaka angu Mungu aendelee kukuinua from Glory to Glory
Amen I receive in the name of mighty GOD!
Mungu siku zote ni mwaminifu bro, azidi kukubariki na unyenyekevu wake ukukuze. Zab 18:35. Amen
Ubarikiwe sana bro Esau
👏👏👏nice one
Thanks
Nice song
Thanks so much
God bless you
MUNGU AKUBARIKI SANA KIJANA WA YESU NI MAOMBI YANGU MUNGU AKUPANDISHE VIWANGO ZAIDI YA VIWANGO .
Amen🙏🙏
Amen amen amen
Sifa na utukufu zimrudie muumba siku zote kwa kukufanikisha kufikia hatua hii, you can do and your alredy did it , Good Job the servant of God. Keep in it though God love you so much so love Him back without any limit and kuwa mnyenyekevu kwake siku zote ili akufikishe mbali zaid ya hapo...Nakupenda katika kristo kijana wa Yesu
Waooow! Ubarikiwe sana mtumish nakupenda sana in CHRIST.
Nabarikiwa sana mtumishi Mungu akusaidie
Amen pray for me
Barikiwa sana kaka
Amen bro
Keep it up
,🙏🙏
Ameeeeeeen
Ubarikiwe Sana Simon Yesu azidi kukuinua
Amen amen🙏🙏
Amen🙏